LadyAJ
JF-Expert Member
- Oct 21, 2015
- 7,173
- 9,656
Uchoyo utawagharimu wanaume wengi sanaSi tunadumisha tu kaurafiki jamani nawe si siku moja moja unapewa vibusu busu vya hapa na pale acha uchoyo bana
Uchoyo utawagharimu wanaume wengi sanaSi tunadumisha tu kaurafiki jamani nawe si siku moja moja unapewa vibusu busu vya hapa na pale acha uchoyo bana
Na mwanaume mchoyo ni wa kumuogopa kama ukomaUchoyo utawagharimu wanaume wengi sana
Its absolute true! Nilishawahi kupitia mikononi mwa mwanaume mchoyo, sitaki kukumbuka kwa kweli Asante Mungu kwa kunitoa pale na kuniweka hapa!!Na mwanaume mchoyo ni wa kumuogopa kama ukoma
Hata ukoma naona una nafuu!Na mwanaume mchoyo ni wa kumuogopa kama ukoma
Ankara ya malipo...Invoice ni kitu gn
Samahan lakini
Mm ninao lakn weng nilisha watongozaHivi inawezekana mwanaume na mwanamke wakawa marafiki kama kaka na dada?
TehNa mwanaume mchoyo ni wa kumuogopa kama ukoma