Wadada mnataka urafiki wa kawaida, invoice za nini?

The Evil Genius

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2014
Posts
6,151
Reaction score
20,068
Wadada wa siku hizi wana mambo ya ajabu sana.

unamtongoza anakataa na kusisitiza muwe marafiki wa kawaida kwamba ana mtu wake,sijui wewe ni fisi sielewi.

Cha ajabu wewe ambae amekataa usiwe mtu wake anaanza kukuletea invoice, kwa nini msiwape hao watu wenu?

Hili ni kati ya mambo yanayotukrra sana sisi wanaume,invoice wapelekeeni watu wenu.
 
Mdada kama huyo ni mzuri sana. Kwa sababu hakuna ahadi za kupotezeana muda, ni mwendo wa nipe nikupe. Mapenzi waachie njiwa.
 
Wadada wa siku hizi wana mambo ya ajabu sana.

unamtongoza anakataa na kusisitiza muwe marafiki wa kawaida kwamba ana mtu wake,sijui wewe ni fisi sielewi.

Cha ajabu wewe ambae amekataa usiwe mtu wake anaanza kukuletea invoice, kwa nini msiwape hao watu wenu?

Hili ni kati ya mambo yanayotukrra sana sisi wanaume,invoice wapelekeeni watu wenu.

Invoice ni kitu gn
Samahan lakini
 
Duuuh!! Ni msimu wa sikukuu ndio umekaba au tatizo nini? Mbona vijana mmezidi kulia lia sana na nyuzi za dizain hii??
Acha uchoyo toa tu, sie hayatuhusu, kama huna mwambie huna.
 
Hhha umenichekesha saana eti "sijui wewe ni fisi"
Btw mkuu urafiki wa kweli ni kusaidiana jamn leo kwangu kesho kwako
 
Uache ubahili na ww
Huwezi jua kesho litakukumba nini na nani atakusaidia kumbuka uchoyo ni dhambi
 
Back then kabla sijaacha hayo mambo, there was this chick alikuwa kila akihitaji kula kitimoto, utaikia "please i miss you so much jamani, nina hamu na kitimoto pleaaaaase" was treating her fairy. Nampelekea au naenda namchukua anaenda kula hadi anatosheka. Ukimgusia anaruka mita 100....

Kuna siku niko nae kwenye gari namrudisha nikataka niforce king, mtoto alilia machozi ya ukweli kweeeli....nikajua hapa hamna kitu.

After hapo kila akinitafta full kupotezewa ingawa hachokagi.
 
Hahah we jamaa umenitabasamisha kiaina.
 
Hivi inawezekana mwanaume na mwanamke wakawa marafiki kama kaka na dada?

inawezekana ila mwanamke awe anamaanisha kweli maana mwanaume rafiki yako ukicheza sekunde 10 anabadiliaha gia akiona kunasomeka.

nna marafiki zangu 2 kwa sasa ni miaka 8 more than ndugu sasa tulivyo watatu very free hata ma gf zao wananizoeaga tu hamna namna
 
Back
Top Bottom