Wadada: Mnapendeza lakini kitambi kinaharibu muonekano

Ngoja tuwakomalie maana vitambi vinawaharibu sana maumbo yao.Ila mi nadhani ni kama ka fashion flani kameingia,pale napopiga mzigo kuna wadada 3 wana miezi kama sita toka waanze mzigo sasa hivi vitumbo vimevimbia kwa pembeni utadhani Chura na wako bize kwelikweli na Chips mayai.
 
Mwanamke hata awe mzuri vipi lakini akiwa na tumbo kubwa tu simtaki hata kidogo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom