Wadada mnaokunywa pombe nyingi mjitafakari

Wadada mnaokunywa pombe nyingi mjitafakari

Karibu mjini Daslam!

Hapo hujakutana na ladies wanaochapa Konyagi dry, atashusha bapa zima utabaki umekodoa macho tu!

I have no problem with drinking ladies, i have a problem with drunk ladies!

Usikute hapo ndo amedrink responsibly hahaaa.

This is Tanzania!
 
wewe acha ubahili chupa 18 tu unabweka hivyo, wenazako wengine wanaagiza bia 16 na kilo 6 za kitimoto na hela ya tax juu

Issue sio ubahiri maana kama nimeamua kula bataa huwa naachia bila kunung'unika, tatizo mdada agiza hata hizo kilo kumi za kitimoto na mengineyo lakini sio mabia unakunywa machupa yote bar na haulewi.
 
Back
Top Bottom