Wadada mnakwama wapi

Wadada mnakwama wapi

Kuchuna huwezi kukukwepa, je vp kuhusu pesa ya gesti/lodge si unatoa wewe au na je mkishavika huko vp kuhusu msosi si lazima uchanike pochi na je vp kuhusu baada ya kwichikwichi si lazima utoe pesa ya nauli! Mzee baba kuonga huwez kukukwepa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hayo yote sio kuchunwa,, kuchunwa ni kukutana na demu fb we upo mwanza ye yupo mbeya na hamjawahi kuonana then awe anakuomba pesa kindez ivo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom