Wadada mnafanyaje kuwapata madomo zege?

Wadada mnafanyaje kuwapata madomo zege?

Majighu2015

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Posts
2,941
Reaction score
3,964
Yaani mwanaume akiwa domo zege ni shida sana. Unakuta mdada kampenda mkaka na kaonyesha dalili zote, lakini kutokana na mkaka kuwa domo zege anashindwa kurusha ndoano.

Hii ni sababu mojawapo ya wakaka kuishia kupiga punyeto. Hawa dada zetu wanapenda kutongozwa, akikukatalia mmoja mwingine atakukubali.

Wadada hembu fungukeni madomo zege mliokutana nao na mlifanyaje mkawapata?
 
mimi wa kwanza[emoji1479] kila kilocho andikwa apo juu kinanihusu.

kila nikitaka kutongoza kunakitu
kinaitwa kule kukataliwa mara ya kwa
nza . Mim ukinikatalia mara ya 1 sirudi
tena, sasa madem kazaa washaga wai
kuniuliza iv ulikua unatutania au uli maanisha. Mim nawambia nlimaanisha mkakataa sa mlitaka m niwa fenyeje watukama mmekataa (niwalazmishekunipenda au?)

inshort kukomalia kitu nishaga shindwa

probably ndomaana nina kama miaka kaza cja mdate mtu yoyote.
 
Yan mwanaume akiwa domo zege ni shida sana. Unakuta mdada kampenda mkaka na kaonyesha dalili zote,lakini kutokana na mkaka kuwa domo zege anashindwa kurusha ndoano.
Hii ni sababu mojawapo ya wakaka kuishia kupiga punyeto. Hawa dada zetu wanapenda kutongozwa, akikukatalia mmoja mwingine atakukubali.

Wadada hembu fungukeni madomo zege mliokutana nao na mlifanyaje mkawapata?

mm nkimtokea dem mara 1 akileta maringo huwa napoteza mazima mana huwa siwezagi shoboka kizembe kwa demu najijua nina udhaifu huo
 
Kutongoza kufanya nini Labda kama mwanamke wa kuoa.Ila kama wa kugegeda hatuhangaiki siku hizi, siku ukiwa na hela tu unamwambia twenzetu unamaliza kesi.
 
Back
Top Bottom