Majighu2015
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 2,941
- 3,964
- Thread starter
- #21
Naamini ulikula mzigoKuna mmoja alisikiaga mi ni domo zege akanitest nikamtemea madini akajifanya kukataa mi nikamvungia na sikushoboka tena, basi wacha anisumbue aisee.
Naamini ulikula mzigoKuna mmoja alisikiaga mi ni domo zege akanitest nikamtemea madini akajifanya kukataa mi nikamvungia na sikushoboka tena, basi wacha anisumbue aisee.
Mkuu hawa viumbe ni kukomaa nao tu..Sometime wanajifanya kama wanagoma ili usiwaone wako rahisirahisi ila ukikomaa mara mbili tatu unatafuna mzigo kiroho safi. Huwa wanakua na genye sema ndo hivyo wamejaliwa kuficha hisia zao. Wako radhi wafe na tai shingonimimi wa kwanza[emoji1479] kila kilocho andikwa apo juu kinanihusu.
kila nikitaka kutongoza kunakitu
kinaitwa kule kukataliwa mara ya kwa
nza . Mim ukinikatalia mara ya 1 sirudi
tena, sasa madem kazaa washaga wai
kuniuliza iv ulikua unatutania au uli maanisha. Mim nawambia nlimaanisha mkakataa sa mlitaka m niwa fenyeje watukama mmekataa (niwalazmishekunipenda au?)
inshort kukomalia kitu nishaga shindwa
probably ndomaana nina kama miaka kaza cja mdate mtu yoyote.
Madomo zege wanatuangusha mkuu..Sijui tuwasaidiaje..Mana watakufa na genye wakati watoto wazuri wamejaa mtaaniDOMO ZEGE HATA MWANAMKE AKIWA UCHI, ATASHNDWA HATA JINSI YA KUANZA KULA MZGO.
KUTONGOZA KUPO KWA AINA NYINGI NA HUTEGEMEA NA AINA YA MWANAMKE.
KUNA WANAWAKE UKIWATANIATANIA TU KIMASIKHARA UNAKULA UTAMU.
KUNA WANAWAKE INAHATAJ BIDII KUWATONGOZA HATA KAMA UNA HELA.
WAPO AMBAO BILA HELA HAKUPI PAPUCHI.
WAPO AMBAO SIFA ZAKO TU ZA MTAANI ZNAMFANYA ATAMANI KUWA NA WEWE.
KIUFUPI SUALA LA KUTONGOZA NI JEPES SANA SEMA MADOMO ZEGE WAMELIGEUZA KUWA GUMU
NOTE:
WAPO WANAWAKE WA KUTONGOZWA KWA KUOMBWA PAPUCH DIRECT NA WA KUWAMWAGIA SOUND YA KUWAPENDA.
Kabisa mkuuKwa hiyo mkuu ww unaamini ukiwa na cash watoto wazuri lazima uwalambe mvinyo
Sasa mkuu kama mtu ni domo zege halafu amebanwa unategemea atamalizia wapi haja zake?Interesting...hivi kuna uhusiano wowote kati ya CHAPUTA na DOMO ZEGE?
Mmmmh...poa mkuuSasa mkuu kama mtu ni domo zege halafu amebanwa unategemea atamalizia wapi haja zake?
Hao hao ila majina tofautiInteresting...hivi kuna uhusiano wowote kati ya CHAPUTA na DOMO ZEGE?
kumbe mkuuHao hao ila majina tofauti
Ndiyo hivyo tena mkuukumbe mkuu
nishaga.... hili neno linamaana gani???mimi wa kwanza[emoji1479] kila kilocho andikwa apo juu kinanihusu.
kila nikitaka kutongoza kunakitu
kinaitwa kule kukataliwa mara ya kwa
nza . Mim ukinikatalia mara ya 1 sirudi
tena, sasa madem kazaa washaga wai
kuniuliza iv ulikua unatutania au uli maanisha. Mim nawambia nlimaanisha mkakataa sa mlitaka m niwa fenyeje watukama mmekataa (niwalazmishekunipenda au?)
inshort kukomalia kitu nishaga shindwa
probably ndomaana nina kama miaka kaza cja mdate mtu yoyote.
Una uhakika gani mkuu kuhusu jinsia yakemtoa mada chunga sana hayo maneno mkaka na mdada kuyatumia mtoto wa kiume ni ukakasi!
Hahahahaaaanishaga.... hili neno linamaana gani???
Hivi huko shule hua mnaenda kujifunza ujinga?
Well said mkuu mi mwenyewe waga nashindwa kurudi hata nikiambiwa ntakufikiria,mi naendelea na ustarabu mwingine.mimi wa kwanza[emoji1479] kila kilocho andikwa apo juu kinanihusu.