Wadada makwapa hayo

Lool hatar sana kwapa chafu mnaongoza wanaume loo!! Unakuta mwanaume kwapa linanuka kijasho sijui hajaoga sijui ugonjwa cjui nin loo!!! Tena na jua hili lilivokali mama yangu weeee mmmh tpuuuu usafi muhimu jaman kwetu sote
 
alaf upande gari ya umma ukae na mkaka, waweza shuka kabla hujafika ati.
 
watu8 lazima usiku wa kuamkia leo umenyimwa gemu.
 
Last edited by a moderator:
Jamani haya makwapa yatoa harufu mbaya sana inabidi tuwe tu wastaarabu hata kama umenyoa au hujanyoa hustahili kuonyesha kwa mtu, "Uso umeumbwa na haya" lakini watu hawana haya kwa hili unakuta kwapa limejaa nywele halafu mtu ananyanyua mkopo kushika bomba ni bora hata akashika siti kwakweli tujirekebishe wenye tabia hii, na kuna watu wanawahi siti ya dirishani halafu hafungui kioo na joto lote la Dar wewe ukinyoosha mkono kufungua kioo anakukodolea jicho na kukubinulia mdomo sio vizuri ustaarabu ni kitu cha bure mbele ya mkusanyiko wa watu. Au sio mwana JF kama vp :A S thumbs_up:
 
sometimes ni ugonjwa, si eti eee?

Yap na dawa yakutoa kwapa jeusi ni sukar na ndimu unachanganya then una massage kwenye kwapa!pia hii inasaidia kutoa ile harufu ya kwapa!hebu jarbun hii tiba wenye hili tatizo
 
alaf upande gari ya umma ukae na mkaka, waweza shuka kabla hujafika ati.

umeonaeee tena sio kijasho tu tukija kwenye upande wa kunuka miguu kiukweli wanaume hapa wanafeli sana mtu ananuka miguu hadi akija home unamwambia asivue viatu. Mara nyingne ukimwambia asivue viatu haelewi anavua wakat anajua kabisa tatizo lake basi hio sebule ni harufu tu hadi kuhisi kutapika loo?.
Wanaume ktk hili mjirekebishe
 
Jaman kuna mijanaume na yenyewe kwapa zao chafu, zinatoa harufu unashangaa kama ni beberu au ni uvundo wa mrundikano wa taka za siku nyingi halaf mbichi kha, na nyie muwe wasafi maana mnatupa kero unaogopa hata kumkumbatia mtu bana!
 
Yani wewe ungekua dada angu!!!! maisha yangekua kidogo rahisi......umeandika point na watakaobisha wao ndio wana ma.kwapa yaliyokomaa!!
 
Yap na dawa yakutoa kwapa jeusi ni sukar na ndimu unachanganya then una massage kwenye kwapa!pia hii inasaidia kutoa ile harufu ya kwapa!hebu jarbun hii tiba wenye hili tatizo
waambie wenzio wajaribu
 
je,na wewe mzuka unapanda?
 
Lool hatar sana kwapa chafu mnaongoza wanaume loo!! Unakuta mwanaume kwapa linanuka kijasho sijui hajaoga sijui ugonjwa cjui nin loo!!! Tena na jua hili lilivokali mama yangu weeee mmmh tpuuuu usafi muhimu jaman kwetu sote

bora kwapa la mwanaume kuliko la mwanamke.
 
Yap na dawa yakutoa kwapa jeusi ni sukar na ndimu unachanganya then una massage kwenye kwapa!pia hii inasaidia kutoa ile harufu ya kwapa!hebu jarbun hii tiba wenye hili tatizo

wagonjwa wa kwapa wamekusikia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…