Wadada makwapa hayo

Habari picha.

Kwa hiyo akiwa kama huyu, inatuonyesha mazingira yake pia shwari.
 
Huu ni uzalilishaji na unyanyasaji wa kijinsia,, mama ananilea nkya where are you? Tunadhalilishwa huku.
 
Aisee we kama jamaa fulani alisema anapenda harufu ya kwapa inampandisha mzuka kichizi...ni wewe nini?
yani we acha tu....lazma kwapa liwe safi ili beberu aweze kupitisha pua! baadhi ya wanaume wanapenda kunusa ndo maana mnaambiwa msiache vichaka huko...
 
Hivi kwani weusi ni uchafu, au kitu cheusi sio kizuri!? (kwapa nyeusiii)
 
Ishu ya usafi wandugu nia ya pande zote mbili...maana mwanadamu ni tofauti na viumbe wengine wanaotegemea maumbile asilia ya ulimwengu huu...ila sisi tusipojitunza na kujiweka vema inakuwa kero sana kwa wengine wanaotuzunguka...pamoja na kuwa na shida ya maji inafaa sana kuzingatia usafi binafsi hasa wa mwili wote ile kuacha sehemu yoyote...harufu mbaya ni kero daima...tujitahidi kuwa wasafi...unakutana na mtu anakusalimu unatamani muachane mapema au ndio hivyo kwenye sehemu za umma inakuwa ngumu sana!
 

sasa jamani, ndo tunanangana hivyo?? mmh!!!!!! me siwez....... ntakua tu msomaji!!!
 

Teh teh hah hah
 

Ila kwakweli hata mi huwa wananiboa kabisa.
Unakuta mtu kajipula mwenyewe kajirembesha ileile . . . ila akinyanyua mkono ile hali ya kwapa we mtazamaji unajikuta unaona aibu badala yake!!! Khaaa

Wenye hizo hali jitahidini jamani kubadilisha mazingira.
Haipendezi hata kidogo.
 
yani we acha tu....lazma kwapa liwe safi ili beberu aweze kupitisha pua! baadhi ya wanaume wanapenda kunusa ndo maana mnaambiwa msiache vichaka huko...

Ila na nyie wanaume pia mnatakiwa kufyeka.
Maana kuna wengine dah....jasho tu utadhani kamwagiwa bia.
Plus harufu ya kibeberu sasa pheeeeeeew!!!
 
Ah hawa waja wasipotutia midomoni hawaridhiki kutwa twasemwa wanawake kila kasoro tunazo sie wanaboa kwa kweli

Ni utoto tu - in fact ni wakati wao kufanya wanayoyafanya vinginevyo watayafanya muda uisofaa - wakikua watayaacha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…