Wadada kuweni na msimamo Muda mwingine


Aisee Nimetoka kusuluhisha ujinga kama huu leo huko Kigamboni.
Mimi Pia nna story kama hiyo Dada kuolewa mke wa pili mwaka juzi mwaka jana December kala talaka tatu na kawekewa replacement tayari.
Wanawake JINGA SANA. Mkiona Pete tu mnanyea kambi.
 
Aisee Nimetoka kusuluhisha ujinga kama huu leo huko Kigamboni.
Mimi Pia nna story kama hiyo Dada kuolewa mke wa pili mwaka juzi mwaka jana December kala talaka tatu na kawekewa replacement tayari.
Wanawake JINGA SANA. Mkiona Pete tu mnanyea kambi.
Hawa ndugu zetu sijui wakoje. Unamtoa mbali unamfanyia kila lililojema akishafanikiwa tu anaanza matusi na dharau.
 

Ndio watu wenye tamaa za ngono walivo
 
Huyo mwanamke anasikitisha sana unajuwa kupitia hizi nyuzi za humu za mahusiano kuhusu tabia mbovu za hawa KE, hii itasababisha wanaume wasiweze tena kutoa support kwa wanawake kwa sababu hawaaminiki hata kidogo kama bibie alikuwa choka mbaya halafu baadae mwanaume anakutoa kwenye hali duni kesho yake unajiona wewe ndio kila kitu. Hawa viumbe sio wakuonea huruma ni kupiga Tofali tu wana mapuuza sana, sijuwi akili zao zipo matterkon tunashindwa hata kuwaelewa pimbi hawa. Leo unaharibu kwa jamaa kesho unarudi kama sio wewe vile. Nasema piga Tofali kabisa wapuuzi hawa.
 
Wahenga walisema ndege mjanja ........hunasa kwa .tundu bovu
 
Nimependa reaction ya huyo jamaa. Hata mimi nisingetaka kujihusisha nae tena huyo dem.
 
kipindi sina pesa niliachwa na mwanmke,ila sas natumia pesa kuwanunua bnafsi sjui huwa wanatak nni hawa dada zetu
Mimi baada ya kumaliza chuo nilipata mwanamke nilimpenda vibaya mno full mipango ifikapo 2021 tufunge ndoa too sad kipindi hicho nilikua sina kazi napambana na mtaa maisha magumu, sasa baba yake huyo mwanamke alikua anaumwa figo hivyo alikua anaenda hospital kufanyiwa dialysis.

Mara bibie akapata mpenz daktari huko hospital mimi nikaachwa [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] ilikua ngumu sana kumove on ila nilikaza moyo. Sasa juzi Kati 14 February kanitafuta ni miaka mitatu anaomba nimsamehe shetani tu alimpitia anataka tukamilishe mpango wa ndoa mwaka huu kama tulivokua tumepanga mbaya zaidi kazalishwa halafu mhuni haeleweki.
 
Majuto ni mjukuu. Hii tabia ya wanawake kupatukana na kupadhihaki walipotoka huwa inawagharimu sana. Wakipata bwana mpya akili zinawaruka kabisa!

Works both ways, wapo wanaume wanaoachana na wanawake kwa kuwatolea maneno ya kashfa
 
Haaah[emoji3][emoji3][emoji3][emoji1] kweli karma anapita kwenye mlango
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…