wadada kuweni makini mbinu mpya ya wezi mjini

Wakuu chukueni ujumbe alioutoa. Ndo mafundisho yenyewe hata kwa chizi wawezajifunza!
 
tafadhali moods wapatie hao watoto jukwaa lao hasa hao wa secondary.
mwanafunzi wa elimu ya juu hawezi kuandika lugha kama hii.
linaweza kuitwa kinda forum au toto forum.
 
kuna watu last 6 washaliwa mjini hapa. unamit bad mtu facebook mnapeana number Mnachart then siku ya kumit anakuambia njoo bad laptop. anakula mzigo aka ngabude then usiku umelala anasepa na kila kitu
kaa chonjo mjini hapa ajira ngumu
poleni kwa mlioliwa
Halafu JF Expert Member duu
 
Naweza kubashiri kwa usahihi kabisa umri wa mtoa mada. Mengine nawaachieni ninyi
 
unadhani walivyosema darasa la saba wamefeulu wote kwenda kidato cha kwanza ila hawajui kuandika ni uongo?basi ndio hayo....
 
Back
Top Bottom