wadada kuweni makini mbinu mpya ya wezi mjini

wadada kuweni makini mbinu mpya ya wezi mjini

moderator! tafadhali funga uzi huu ishatosha! lugha gongana naona....haieleweki hata kidogo!
 
Ebwana Janja Pori ngaubde ni nini? Nao wadada kwann waende on dates na vijilaptop vyao?? Hawastukii mtu akishaanza na demands?

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
tahadhali yako huenda ingeleta maana kama lugha ingeeleweka! Kwakweli lugha nitatizo wala si dogo ni tatizo lakukutosha.
 
...mali ya halam uondoka kwa halam...i mean kama hivi vi-laptop walivipata kwa mwendo huo wa kutoa uroda basi vitaondoka kwa mtindo huo huo wa kuliwa uroda...hapo ngoma dro yaan mwizi kamwibia jambazi...
 
kuna watu last 6 washaliwa mjini hapa. unamit bad mtu facebook mnapeana number Mnachart then siku ya kumit anakuambia njoo bad laptop. anakula mzigo aka ngabude then usiku umelala anasepa na kila kitu
kaa chonjo mjini hapa ajira ngumu
poleni kwa mlioliwa

We ni Mcongo au mganda?
Huyu demu wa FB ukifika room kitanda unavutia mlangoni unaanza kumshughulikia na tiGo kwanza mengine yanafuata
 
mi maimuna au? kwentu usukumani hapo kaniacha kabisa.
 
tatizola mapenzi ya mtandaoni hayo...... Hamjuani mpanga apointment.....
Anakumega na kukuibia juu......
 
kuna watu last 6 washaliwa mjini hapa. unamit bad mtu facebook mnapeana number Mnachart then siku ya kumit anakuambia njoo bad laptop. anakula mzigo aka ngabude then usiku umelala anasepa na kila kitu
kaa chonjo mjini hapa ajira ngumu
poleni kwa mlioliwa

JF Senior Expert Member
 
kwani ulitaka kufikisha ujumbe gani!!au kuna watu wa namna yako uliowalenga huku ndani!!
 
Thamani ya Jukwaa la Great Thinkers inapungua! Moderators poleni kwa majukumu. Hiki ndio kiashiria ya kwamba, wanaomaliza sekondari bila ya kujua kusoma na kuandika; hawajui kujieleza, hawajui wapi waseme nini, hawajui lugha...., imeongezeka.
Hawa watu wanastahili ban angalau ya siku moja, kwani wanajaza upuuzi jukwaani.
Kwa mada kama hii, nitatofautishaje FB na Great Thinkers???
 
Sio kiswahili tu hata mada yenyewe mbovu haiwezekani mwanaume aliye mufahamu kwa mara ya kwanza amwambie aje na vitu alafu walale usiku kucha haingii akilini
 
wabongo kwa kuponda .......
mada inaeleweka ngoja ya wakute ndo mtasimuliaaaa kumbe... tatizo kiswahili tu hehe ngekuwa spanish au kikrustu hapo poa.. keyboard somes inazingua.
usiku mwema kwa wote wenye majungu
 
yani hata sijaelewa hiyo ni lugha, ambae ameelewa msaada atufafanulie wengine huku kwetu umasaini kiswahili tu shida.
 
wabongo kwa kuponda .......
mada inaeleweka ngoja ya wakute ndo mtasimuliaaaa kumbe... tatizo kiswahili tu hehe ngekuwa spanish au kikrustu hapo poa.. keyboard somes inazingua.
usiku mwema kwa wote wenye majungu

mkuu kiswahili chako hujapanga vizuri! tufafanulie basi! badala yakupiga mayowe!
 
Back
Top Bottom