Wadada, jifunzeni kuwa wasiri

Teh,bado kuna ile tabia ya Ku screenshot conversation zao na watu wao na kutupostia ili tuone wanavyopendwa.
Yani ndo nimetoka kufanya hivyo now..Kumbe inawakera eheee?
 
kwel bhan wadada wanaboa dats why na sie twaanza waita majina kama hayo..!!!
 
My comment clearly inaonyesha siko upande wao unless hujaielewa....
Na ningeongea kwa niaba yao ningewajibia pia..
Reread my comment..
Basi nisaidie kuelewa..Kama haujaongea kwa niaba ya watu flani,ina maana umejiongelea mwenyewe ?
 
Da Dah noma kweli wana ukubwa WA kimwili akil saiz ya diklopa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…