WADADA JAMANIIIIIIII

WADADA JAMANIIIIIIII

kingzeddy

Senior Member
Joined
Aug 20, 2015
Posts
187
Reaction score
209
Siku hizi ya wadada wengi(sio wote) sana wanatamani kuzaa kuliko ndoa, tatizo nini mpaka mshatuambikiza wanaume stlye zakuela watoto nje ya ndoa kuongezeka kwa kasi. Mnadate miezi mwili tu unasikia "bby naomba nizae na wewe tumleewote mtoto"
 
Mbona fuleshi
Fuleshi kwa mazingira ya kujiiba tatizo ukishafanikiwa ukiwa na ndoa maisha yapo pouwa mtoto analetwa hom(mkeo mkali) au alelewa na baba mwingine ina kuwa sio fuleshiii[emoji69] [emoji69]
 
Acha uhuni mkuu
 
Tulia Ww Acha tule nyapu si wametaka wenyewe kwa ni Ww unabeba
 
Fuleshi kwa mazingira ya kujiiba tatizo ukishafanikiwa ukiwa na ndoa maisha yapo pouwa mtoto analetwa hom(mkeo mkali) au alelewa na baba mwingine ina kuwa sio fuleshiii[emoji69] [emoji69]
Hapo ndo tatizo lilipo mkuu
 
Back
Top Bottom