Unaanza kuniuzi, angalia kwanza ndipo utagundua kuwa kiguswa chako si muhimu kwa kuanzia ila baada ya hapo utapenda uwe namba mbili. Lita zipo 0.00000001 na ahadi lazima zifike 5. Kaaaazi kweli kweli
Huwezi kusifia kitu ambacho hujakionja na huwezi kukionja. Acha walioonja waseme. Nipe simu ya aliyeishakugusa anieleze ili hata nikivunja ahadii iwe ukitaka kula nguruwe (astagafululai) awe mnono