Nashindwa nikuraumu au lah hasha,kama una mkeo ukitongoza ukiombwa 20,000 mnunulie mkeo na watoto wako matunda mpeleke wafurahie kama huna,tafuta wa kiwango chako hao wa 20,000 siyo saizi yakoKweli sijui huwa mnakuwa na nini baadhi ya wadada, uzungu mwingi utawaponza na tamaa. Kweli hela ni tamu lakini ukiitafuta kwa jasho lako na kama niyakupewa bure basi usigeuze ni haki yako. Haiwezekani tumekuwa marafiki then uniombe hela ya saloon nikikuambia sina unaniblock then baadae unajiona mjinga unaunblock. Hivi nikikutongoza na kufake love na uchumba fake utanilaumu ikiwa ww ulitanguliza maslahi.
Mnatufanya tusiwahurumie kuwaambia ukweli kuwa tuna familia zetu sababu ya tamaa zenu za kijinga. TShs 20,000 ya salon si ya kuuza utu wako, mzuri ni mzuri tuu.
Wanawake bhana ni jangaKweli sijui huwa mnakuwa na nini baadhi ya wadada, uzungu mwingi utawaponza na tamaa. Kweli hela ni tamu lakini ukiitafuta kwa jasho lako na kama niyakupewa bure basi usigeuze ni haki yako. Haiwezekani tumekuwa marafiki then uniombe hela ya saloon nikikuambia sina unaniblock then baadae unajiona mjinga unaunblock. Hivi nikikutongoza na kufake love na uchumba fake utanilaumu ikiwa ww ulitanguliza maslahi.
Mnatufanya tusiwahurumie kuwaambia ukweli kuwa tuna familia zetu sababu ya tamaa zenu za kijinga. TShs 20,000 ya salon si ya kuuza utu wako, mzuri ni mzuri tuu.
Wengi mpo hivyoHao unaowapata vichwa maji ndo size yako labda
Safi kabisaMzeee unanisema mimi hapoo...!! Kuna manzi nimempotezeaa juzi tu hapaa...kizinga cha elfu 20 sitakagii ujingaaa
Msaidie mwenziooo [emoji23][emoji23][emoji23]Kwani alikushikia bunduki!!!
Kwahiyo sisi tukusaidieje?
Wenye elimu hawapigi mizinga?Mwanamke akikosa elimu zitakazoumia ni sehemu zake za Siri
hajaomba msaada, amekuelezeni , wenye tabia kama zake muacheKwani alikushikia bunduki!!!
Kwahiyo sisi tukusaidieje?