Wadada haya si ndo mnayoyataka?

Hayo yoooote ni kuiga iga tamaduni za watu.

Unatakiwa kumfanya mwanamke ajue kwa vitendo kuwa wewe ndio shida zake.

Mjegejo ni automated asylum.
Mkuu hata hivyo ni vitendo pia...Hutakiwi ufanye hivyo vitu kimaigizo. Unafanya kama wajibu wako
 
HAAHAAAA!MKUU HAWA VIUMBE HAWANA FOMULA,INGEKUWA NDO IVO KUSINGEKUWA NA BREAK UPs!KUNA AMBAO WAMEPEWA KILA KITU ULICHOSEMA LKN WAKAZINGUA!WE MSOME ULIYE NAE UJUE ANAPENDA NINI NA NINI HAPENDI LAKINI UJUE TU KWAMBA HAWA VIUMBE HAWANA FOMULA!
 
Mwanaume kuchakarika sa we jifanye unajua kucare utageuka mfariji wa vidume wenzako kwa dem wako
Kuchakarika kusisababishe kusahau majuku yako mengine kwa mpenzi wako..
 
Kuna wengine wanapenda wasonkolwe kwenye 0713
 
HAAHAAAA!MKUU HAWA VIUMBE HAWANA FOMULA,INGEKUWA NDO IVO KUSINGEKUWA NA BREAK UPs!KUNA AMBAO WAMEPEWA KILA KITU ULICHOSEMA LKN WAKAZINGUA!WE MSOME ULIYE NAE UJUE ANAPENDA NINI NA NINI HAPENDI LAKINI UJUE TU KWAMBA HAWA VIUMBE HAWANA FOMULA!
upendo kwanza mkuu haya mengine ndo ya kushikilia ule upendo mtu kama hakupendi hata kama umpe nini ni kazi bure
 
Hata ukimfanyia hayo yote kama hana akili ya kujiongeza, kujitambua pamoja na roho ya kuridhika sehemu aliyopo ni kazi bure hata😳😳 ukimkabidhi dunia haita saidia hawa watu very complicated
 
Hivi ww unawajua wanawake vizur au unawaona ona tu sio? Fanya yooote na uliyoongezewa hautakaa umridhishe mwanamke, yu wapi samsoni tena mnadhiri wa Mungu? Sembuse ww, Biblia imekuambia 'ishini na wake zenu kwa akili, ohooo kalagabhaooo
 
hizo tatu zinatosha hyo ya nne siitaki ongeza na anipigie pigie simu mara kwa mara umekunywa chai baby? umekula mamy? umekunya mpenzi? umeswaki mamy ? nk sio unajikausha kama haupo

Labda kwenye movie aisee!
 
hizo tatu zinatosha hyo ya nne siitaki ongeza na anipigie pigie simu mara kwa mara umekunywa chai baby? umekula mamy? umekunya mpenzi? umeswaki mamy ? nk sio unajikausha kama haupo

mhhhh! na wewe jukumu lako ni lipi?
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…