The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 39,582
- 123,152
They are just trying to hide their old identities.Kwanini nyie watu wenye IDs mbili mbili, kwenye I'd mpya huwa mnajifanya kama ni wajinga msiojua kuandika vizuri?
I'd zenu nyingine mnaandika mmenyooka kabisa ila hizi mpya huwa mnajifanya kama zimepelea hivi kichwani!
Ngoja tuangalie VAR inasemaje.
JF VAR CHECK
sisi ni mandege wakuu hapa JF hamna wakulinganishwa nasi.ukileta za kuleta tunakudonoa na midomo yetu.
- Ayatollah the Bird
- Replies: 19
- Forum: JF Chit-Chats
Kwamba siku zote hizo nyota haitaki kung'aa? 😅Habari Yako Bamtu hutaki mwanao Nyota yake ing'ae?
Ndo imeanza 😅Kwamba siku zote hizo nyota haitaki kung'aa? 😅
Win _ one, cocastic, masai dada, Kuna mwana yanga kindaki ndaki kama unamjua mtajee😊☺️ si mwingine ephen_
Tusidanganyane bwana!! Cha kufanya hakikisha mlango wa pm haufungwi, vijana wapo active sana😅😅Ndo imeanza 😅
Ww nawe una chuki na baadhi ya hizo ID, hii sio mara ya kwanza unasema hili.Inawezekana ikawa hii Dunia inaenda speed zaidi yangu au mimi ndio naenda speed zaidi yake,
Hizo ID's za hao wanawake ndio kwanza naziona kwenye huu uzi!
Kumbe unanifuatilia,Ww nawe una chuki na baadhi ya hizo ID, hii sio mara ya kwanza unasema hili.
Una lako jambo.
Hao wote ni mashangazi. Hakuna dada hapo
Utafanya nipigwe Ban,tayari nimesha pewa warning PMVAR inasema ni huyo mwenye bird mwenzake?
Ngoja nije mwanza utanikoma.sameja hapo wametajwa wanao/walio tesa JF naomb usichanganye mambo 😄
karibu sana sameja nakusubir kwa ham zote😻Ngoja nije mwanza utanikoma.
NB. Leo nimepiga zangu Serengeti lemon mbili na konyagiiii ndogo moja hapa nipo work ila akili Ina bembea😊
Mimi na nipo vizuri sana sanaa sanaa siwezi zingua kwanza hata mtu hawezi nijuakaribu sana sameja nakusubir kwa ham zote😻
hahahaha asubuhi yote hii ushapiga vitu? angalia usije ukachanganya mafile huko kazini🤭
Mambo ya kanzu jipya sheikh ni yule yule 😂Sio wanaJF ndio tuna kazi? Manake huyu aliyeleta mada ni member since july 30 2026 means ana wiki tu
Kama unavyoona anaijua JF na members wake nje ndani,hapo unajiuliza huyu kanzu lake la zamani lipi?
Mods huko wanamuona huyu na wanamjua ni nani
Hii siyo hoja.Kumbe unanifuatilia,
Safi sana,
Keep it up.