Maalim Jumar
JF-Expert Member
- Dec 28, 2010
- 1,259
- 118
Atii! Haiwezi kumuharibia jamaa?Mwambie aongee nae amwambie hatoweza kuvumilia kama mambo yataendelea hivyo.
Atii! Haiwezi kumuharibia jamaa?
Pole kama umeona inakuchanganya!Hiyo Title imenichanganya.
Wadada wangapi??
Ushauri mwambie huyo rafiki yako aongee na mwenzake ajue shida iko wapi na kama hatakiwa aambiwe kuliko kupoteza muda.
Halafu mara nyingi nawasikia akina dada wakisema ''umenipotezea muda wangu'' lakini akina kaka sijawahi kuwasikia maneno hayo.haiharibu. Kwanini aishi kwa kubahatisha? Aongee nae ajue moja. Maisha yenyewe mafupi. Sio vizuri kupotezeana muda.
Kweli hapo umenena!.Hawa wasichana wa kuwatongoza wakiwa chuo kwa ajili ya kuoa ni hatari tupu, nadhani tabia za wasichana wa chuo tulishawajadili hapa JF. Ni vizuri wasichana wa chuo uwasubiri wamalize chuo/watoke mazingira ya chuo ndipo uwaambia habari ya uchumba na ndoa. Chuo maisha ni ya ushenzi sana lakini akitoka chuo ndipo akili zao huwa zinaanza angalau kutafakari kibinadamu na hapo ukipeleka ombi la ndoa atakalokujibu atakuwa amelitafakari kiutu uzima kwa kiasi chake
Kupotezewa muda Husninyo ndio vipi?
Hiyo Title imenichanganya.
Wadada wangapi??
Ushauri mwambie huyo rafiki yako aongee na mwenzake ajue shida iko wapi na kama hatakiwa aambiwe kuliko kupoteza muda.
Nahtaj darsa zaidi.kupotezewa muda ni pale ambapo wewe unafikiria future zaidi wakati mwenzio hana hiyo habari kwamba atakuwa na wewe kimaisha.
Umeelewa au unahitaji darasa zaidi?
Mhh!Alikuwa anamtumia huyo jamaa sababu alikuwa chuoni matumizi ya hapa na pale na yale mashindano ya wasichana chuoni. kwa sasa karudi kwa mpenzi wake anaempenda. hiyo ndio goodbye.
Mh!.Nafikiri jambo liko wazi kuwa jamaa alikuwa anatumiwa. Unajua utu uzima dawa na akufukuzae hakwambii toka ila utaona mambo yanabadilika. Unajua nonverbal communication speaks louder than verbal. Huyo binti hata kama utamuhonga mbingu itakuwa bure. Chapa lapa tafuta mwingine
Nahtaj darsa zaidi.
Kwann iwe kwa akina dada peke yao?