Aisee Khantwe naona nilipita na 180. Uko sahihi, ila mdada kakosea kumegwa na mume wa mtu hapo. Ila kwa huu umakini naomba nitangaze nia ya kubeba jumla na mimi. Tuonane upenuni basi tutete vizuri.Mimi naona kama hujasoma maana mtoa mada amesema huyu dada alikuwa na msimamo sana...mabazazi wote alikuwa anawapa cha mbavu hadi alipojitokeza huyu aliyebeba jumla
Aisee Khantwe naona nilipita na 180. Uko sahihi, ila mdada kakosea kumegwa na mume wa mtu hapo. Ila kwa huu umakini naomba nitangaze nia ya kubeba jumla na mimi. Tuonane upenuni basi tutete vizuri.
Mwandishi anamaanisha wadada muwe mnachangamana na watu tofauti tofauti wake kwa waume mngali bado wasichana ili muzijue mbivu na mbichi na akili yenu ipanuke zaidi kijamii, ili mkiyapata ya jamii ( ikiwemo kuolewa na kuachika) muweze ku adjust vyema na kuendelea na life kama kawaida. Too much Strictness kama huyu dada, inakuweka mbali na reality ya maisha!
Nimemuelewa Mwandishi kihivyo!
Sasa mbona hutokei kule upenuni we bibie Khantwe? Hebu kuja hiyo pande ushaniweka gadi sana mtoto wa mwanamke mwenzio hivooHehehe....bahati ya mtende hii nitakutana nayo wapi tena mimi
Sasa mbona hutokei kule upenuni we bibie Khantwe? Hebu kuja hiyo pande ushaniweka gadi sana mtoto wa mwanamke mwenzio hivoo
Khantwe na wewe umeanza kunirusha roho mamito? Sio hivo halafu ukizingatia mi nishafika bei basi naumia hadi kunako chini ya mtima. Basi ngoja nivumilie tu hivi hivi taratibu, nitakula hizo mbivu aka tamu one day.wee mi nimekaa hadi mbu wameanza kuning'ata
Khantwe na wewe umeanza kunirusha roho mamito? Sio hivo halafu ukizingatia mi nishafika bei basi naumia hadi kunako chini ya mtima. Basi ngoja nivumilie tu hivi hivi taratibu, nitakula hizo mbivu aka tamu one day.
Basi njoo hapa ghetto kwangu na hiyo shela tumalize biashara kabisa. Nakusubiri hapa yaani nimeandaa na mkuyati kabisa ili iwe siku maalum hii.Uvumilie nini tena hone? mimi nataka tuoane haraka ujue nimeshaenda kupima shela
Basi njoo hapa ghetto kwangu na hiyo shela tumalize biashara kabisa. Nakusubiri hapa yaani nimeandaa na mkuyati kabisa ili iwe siku maalum hii.
Hiii....tunajifungisha wenyewe???
Sasa je?Hiii....tunajifungisha wenyewe???
Tena itakuwa poa tukimaliza tunapiga three some kabisa. Dah mbona burudaani sana humu ndani, watoto wazuri lainiii kwa raha zangu.Hahahaaaa! Naomba niwe shahidi.
nitakutumia account namba pmSawa bebeee.........watakaje sasa ili zikufikie........?!
Tena itakuwa poa tukimaliza tunapiga three some kabisa. Dah mbona burudaani sana humu ndani, watoto wazuri lainiii kwa raha zangu.