Wadada beware of destiny

Wadada beware of destiny

Tatizo we mkuu yaelekea ni wale vijana wa vijiweni yaan mnakaa mnapiga data za wadada mpaka mdomo unapasuka,,, huku mnajiwekea matumain kuwa atayeyuka tu, au ataexpire tu mnaombea wenzenu mabaya il muonekane washindi.

Katika maisha binadam wapo hivi,
ukikaa ndan huchangaman na magrop ya umbea utaambiwa anajisikia sana,
ukiwa unajichanganya na magrop ya wa2 unaambiwa wamekosa kaz wambea wa mtaa,,
ukihudhuria ibada sana na warsha za kanisan unaambiwa anajifanya wa dini/ mama mchungaji,,,
usipohudhuria ibada unaambiwa ulimwengu umemtawala / mpagani,,,,, na mifan mingne yote.

Sasa unataka niishije? Kwanin hakuna jambo lionekanalo jema? Ispokuw cfa zote mbaya?,,,
by theway naishi ni wezavyo acha waseme uck nani atanilinda? Kam c hao.
 
Miss chagga my love......my dream girl......i miss you darling......
 
Natamani kujua alichokosea huyo dada ni nini maana sijaona tatizo lake hapo....katika wale waliomtokea akamchagua mmoja ila bahati mbaya ikabuma...yeye angejuaje? Destiny ipo tu...there's nothing u can do about it

Unajua nini best......kwenye maisha huwa kunavitu huwa deep inside we know they are the right things to do ila tunaleta vimsimamo visivyo na mashiko yoyote vilivyojaa ubaguzi uliopitiliza ...........viburi vinatujaa sisi binadamu kuamini tunachotaka ndio kiwe......wengi wanalia now.
 
Tatizo we mkuu yaelekea ni wale vijana wa vijiweni yaan mnakaa mnapiga data za wadada mpaka mdomo unapasuka,,, huku mnajiwekea matumain kuwa atayeyuka tu, au ataexpire tu mnaombea wenzenu mabaya il muonekane washindi.

Katika maisha binadam wapo hivi,
ukikaa ndan huchangaman na magrop ya umbea utaambiwa anajisikia sana,
ukiwa unajichanganya na magrop ya wa2 unaambiwa wamekosa kaz wambea wa mtaa,,
ukihudhuria ibada sana na warsha za kanisan unaambiwa anajifanya wa dini/ mama mchungaji,,,
usipohudhuria ibada unaambiwa ulimwengu umemtawala / mpagani,,,,, na mifan mingne yote.

Sasa unataka niishije? Kwanin hakuna jambo lionekanalo jema? Ispokuw cfa zote mbaya?,,,
by theway naishi ni wezavyo acha waseme uck nani atanilinda? Kam c hao.

Too much of anything is harmful........
 
Wanaojidai kubana sana ndo maharagwe ya mbeya.
 
This destiny thing is crazy!!
There is nothing you can do about it. That's why enjoy ur life as much as you can.usikae ndani kula bata kadri uwezavyo utumie ujana ile ipasavyo. Coz haijalishi utajibana vipi upange yako destiny tayari ishakupangia yake. So ili usije kujuta why hukuenjoy kipindi na kubaki kujuta na maneno ya " kama ningejua" bora uanze sasa.
Kingine kiimani tunaambiwa Mungu anakujua hata kabla hujazaliwa na wapi utaishia hata kabla hujazaliwa (motoni au peponi) so usiumize akili yako on what next......because NEXT ishapangwa tayari
 
ukichagua nazi sana lazima uangukie koroma.... tatizo siyo uzuri tatizo ni choice ... wanawake bwana atakuta anapendwa lakini utakuta yeye anapenda asipopendeka na kukimbizana nako...... pale unapoona unapendwa unajisikia amani, unajisikia kuwa huru na huyo mwenzio.. na unaona utaweza kuwa honesty kwake na ukahisi some how yupo honest kwako just be with that person...... japo mimi naangalia yote hayo na pesa

Hahahaaaaa!! Ewaaaaaaa!
Ila sasa kuna mahali unajilazimisha hadi unataka kuzimia ila hataaa kanafsi hakashtuki jamani, hakuna raha kama kuishi na mtu ambae moyo umemridhia.
 
wanakuta wanaangalia external factor wanadharau moyo... ha ha ha mimi napenda napo pendwa na pesa ikiwa nyuma nyuma
 
Unajua nini best......kwenye maisha huwa kunavitu huwa deep inside we know they are the right things to do ila tunaleta vimsimamo visivyo na mashiko yoyote vilivyojaa ubaguzi uliopitiliza ...........viburi vinatujaa sisi binadamu kuamini tunachotaka ndio kiwe......wengi wanalia now.

Bado hujanishawishi...kwa hiyo ukimvulia kila anayekutongoza ndo unapata mume mwema?
 
ukichagua nazi sana lazima uangukie koroma.... tatizo siyo uzuri tatizo ni choice ... wanawake bwana atakuta anapendwa lakini utakuta yeye anapenda asipopendeka na kukimbizana nako...... pale unapoona unapendwa unajisikia amani, unajisikia kuwa huru na huyo mwenzio.. na unaona utaweza kuwa honesty kwake na ukahisi some how yupo honest kwako just be with that person...... japo mimi naangalia yote hayo na pesa
Mkemwenza nifundishe kutambua ninapopendwa
 
kujua kama unapendwa au upendwi lazima uingie kwenye mahusiano at list ujarbu halafu utoke sema wengi mnaogopa eti nitaonekana na wanaume wengi.. companion between two ndiyo jambo la msingi
 
wanakuta wanaangalia external factor wanadharau moyo... ha ha ha mimi napenda napo pendwa na pesa ikiwa nyuma nyuma

Yeah unapopendwa ila angalau nawewe moyo uwe umeridhia jamani, pesa muhimu atii tutakula mapenzi?
 
Back
Top Bottom