Aisee mimi sipo kundi la hawa....mi bi kizee wa siku nyingi mnooo
Natamani kujua alichokosea huyo dada ni nini maana sijaona tatizo lake hapo....katika wale waliomtokea akamchagua mmoja ila bahati mbaya ikabuma...yeye angejuaje? Destiny ipo tu...there's nothing u can do about it
Mweeeh kumbe na uzee wote huu bado naitwa binti!!
Hahahah shikamoo bibi samahani kwa kukushushia heshima
Kumbe ww ni bibi...... sasa mi na shaka na ubibi wako au ni haw wa digital wa hiii miaka ya 2000 but heshima yako
Hata mimi hadi nimerudia kusoma tena kama sijaelewa hivi, if its a mater of destiny then tatizo letu ni nini?? Au tufanye nini sasa?
Hata mimi hadi nimerudia kusoma tena kama sijaelewa hivi, if its a mater of destiny then tatizo letu ni nini?? Au tufanye nini sasa?
tumekusikia mkuu
Alikosea kugawa utamu ovyo. tulizeni vipochi manyoya hivyo hadi muolewe. Inawezekana kabisa na wala hakuna ugumu wowote.Natamani kujua alichokosea huyo dada ni nini maana sijaona tatizo lake hapo....katika wale waliomtokea akamchagua mmoja ila bahati mbaya ikabuma...yeye angejuaje? Destiny ipo tu...there's nothing u can do about it
Alikosea kugawa utamu ovyo. tulizeni vipochi manyoya hivyo hadi muolewe. Inawezekana kabisa na wala hakuna ugumu wowote.