...Ah! wapi ni haya mapapa ya mjini tu yasiyo na aibu Mundu!...Kama wanajua jamaa ana mke tena staff mwenzao na harusi walishiriki si ndio mafisi maji hao!! namshauri tu jamaa akomae asiharibu ndoa yake tena bado changa kabisa!....
Mkuu kumbe nawe umeliona hilo eeh.
Mara anapigiwa simu usiku wa manane ... Pooh! childish!
sawa handsome boy ulosoma abroad, kitongozwa ni jambo oa kawaida haijalishi kama mtu ameoa au ameolewa.... Hakuna cha kuona ajabu wala cha aibu, jukumu la kulinda ndoa lipo mikononi mwako na mkeo...
Hakuna cha kishangaza hapo
Leo nimeingia zangu kazini kama kawaida,mara akaja dada mmoja ameolewa jicho kavu hata aibu hana akasema unajua J yaani mimi. wewe ni handsome na unamvuto wa kila mwanamke humu ndani na kila mdada anakuzungumzia wewe wewe ni chaguo sahihi..ni kamwambia Asante na ninalitambua hilo toka nilipokuwa abroad nikisoma.
Akamaliza,Sasa J.tutakwenda lini wote dinner...nikamtazama nikamwambia si unajua mie nina mke hata miezi sita sijamaliza kwenye ndoa yangu...siwezi kwenda sehemu bila ya mke wangu kujua akajibu..wewe una mke nyumbani na mimi nina mume nyumbani....haaaa alinimaliza nguvu,nikamwambia kama umetumwa aliyekutuma kamwambie umeshidwa..Akaondoka zake huku akijitingisha...
Mchana nikamwita dada mmoja naye tunafanya naye kazi nikamuuliza baada ya kumwelezea kila kitu alichonijibu hata sikuamini masiko yangu.."kila binti humu ndani anakuta sema wanaogopa namna ya kukuanza"nikamwambia asante,message imenifikia...nikawamwambia asanteni mie najua huwa ni masiala tunapotaniana humu ndani ndiyo nikapata picha kamili za kuwa napigiwa simu usiku na sms..nikaachana naye..
Dada zangu naomba basi muwe hata na uso wa aibu yaani unamtaka mtu na huku ukijua kabisa ni mume wa mtu na tena hata kwenye harusi ulikwepo na unajua ndoa yao bado changa mapenzi bado motomoto unaingiza ushetani wako.Tafadhari acheni.

Nilimpiga jicho hilo ni balaaa..nadhani walikwenda kuambiana huko wakati wa lunch..