Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 17,048
- 13,495
hivi akina Mushi ni wachaga wa Machame vile i have afried to marry chagga nimpoteze mama yangu
hivi akina Mushi ni wachaga wa Machame vile i have afried to marry chagga nimpoteze mama yangu
ungeandika kiswahili tu.....ungeeleweka zaid
Teh teh teh......
Muache kutu-mushilize bhana!!!!
uwiiiiiiiiii kwa hili la mushi tutasikia mengi.
Na hivi ni wamachame tumekwisha khaaa!!
Haya bhana endeleen mkichoka mtaacha
hatupend kuwa mushilize ila inatokea tu...muwe mnakubali matokeo bila kutumia mitutu
teh teh teh......
hivi akina mushi ni wachaga wa machame vile i have afried to marry chagga nimpoteze mama yangu
Hatupend kuwa mushilize ila inatokea tu...muwe mnakubali matokeo bila kutumia mitutu
unaweza jing'ata ulimi bure sa tabu yote ya nini
unaweza jing'ata ulimi bure sa tabu yote ya nini
We nae ntakupunusa hela zako zote......halafu uje na hicho kibastola chako!!!!teh teh teh......hv ile mbinu ya risasi kugeuka maji itafaa???!!!