Wadada acheni kusema hizo! umenichezea,umenipotezea muda

Wadada acheni kusema hizo! umenichezea,umenipotezea muda

kyalankota

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2014
Posts
2,594
Reaction score
1,463
Wakina dada wanapenda kulalamika kuwa wamechezewa na kupotezewa pindi Penzi likiingia dosari hadi kupelekea kuachana.

Inakuwaje ulalamike umechezewa wakati wote mlikuwa mnashirikiana kwenye tendo! kila mtu alikuwa anachezea kiungo cha mwenzake kwa raha zenu! wote mlikuwa mnapata utamu, iweje mambo yakiharibika useme umechezewa na kupotezewa muda.

Mi naona wote mmechezeana na mmepotezeana muda kwa vile mlikubaliana hakuna aliyekuwa anabakwa hapo.
 
Kinacho tufanya tulalamike ni CAT AND MOUSE GAMES MNAZOCHEZA! Ushajua mdada hakufai, wala humuoi ila humwambii ukweli, yeye anaka kukusubiria, akionesha patience na perseverance kumbe wewe huna nia kabisaaaaaa! Huko ndo kumpotezea mtu mda. Bora muambiane tu hapa mechi za kirafiki tu, ukipata mtu wa kukuoa au wakumuoa PLEASE GO AHEAD AND DO THE NEEDFUL! Mi nai ita all cards on the table!
 
kinacho tufanya tulalamike ni cat and mouse games mnazocheza! Ushajua mdada hakufai, wala humuoi ila humwambii ukweli, yeye anaka kukusubiria, akionesha patience na perseverance kumbe wewe huna nia kabisaaaaaa! Huko ndo kumpotezea mtu mda. Bora muambiane tu hapa mechi za kirafiki tu, ukipata mtu wa kukuoa au wakumuoa please go ahead and do the needful! Mi nai ita all cards on the table!

nikupe zawadi gani aisee nimependa maelezo yako aisee
 
Kinacho tufanya tulalamike ni CAT AND MOUSE GAMES MNAZOCHEZA! Ushajua mdada hakufai, wala humuoi ila humwambii ukweli, yeye anaka kukusubiria, akionesha patience na perseverance kumbe wewe huna nia kabisaaaaaa! Huko ndo kumpotezea mtu mda. Bora muambiane tu hapa mechi za kirafiki tu, ukipata mtu wa kukuoa au wakumuoa PLEASE GO AHEAD AND DO THE NEEDFUL! Mi nai ita all cards on the table!

Na ikitokea kidume kiko serious kumbe binti anataka mgegedo tu mpaka atakapompata Mr. Right Man wake inakuwaje? Au mwanaume "hachezewi"?
 
kuna dada mmoja alifanya kitu flan
alikuwa ana boyfriend wake wanapendana sana kwa miaka 4 , akamtongoza mwanaume mwingine kwa mda fulani yule dada akamkubali yule kaka kumbe alikuwa serious bwana alivyoona mdada anamfaa akaamua kujitambulisha kwa wazazi wa dada mambo ya ndoa yakaanza hapo ndipo akamuambia yule wa zamani waachane
yule kaka alilalamika sana kuwa yule dada ni msaliti jibu lilikuwa simple " tumekaa miaka minne hujawahi nambia utanioa ulitaa mi nikuombe utanioa lini au mapenzi yasiyo nakikomo" nq kaolewa kweli
 
Nilishawahi kuchangia mada kama hii siku si nyingi.
Ngoja nipite.
 
Kinacho tufanya tulalamike ni CAT AND MOUSE GAMES MNAZOCHEZA! Ushajua mdada hakufai, wala humuoi ila humwambii ukweli, yeye anaka kukusubiria, akionesha patience na perseverance kumbe wewe huna nia kabisaaaaaa! Huko ndo kumpotezea mtu mda. Bora muambiane tu hapa mechi za kirafiki tu, ukipata mtu wa kukuoa au wakumuoa PLEASE GO AHEAD AND DO THE NEEDFUL! Mi nai ita all cards on the table!

Hivi #lara 1 we kwa akili yako na elimu uliyonayo huwezi kabisa kumgundua kuwa huyu jamaa ni type ya "eat and run"..? Au kum-recognize jamaa kuwa ni "womaniser"..? Tatizo la wanawake ni total falling in love.that's all
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom