kingkongtz
JF-Expert Member
- Dec 28, 2019
- 1,059
- 3,646
Wakuu kwema.
Kadri siku zinavyozidi kwenda wanawake weusi wanazidi kupungua (hawajiamini yan)
Wanahisi weupe ndio dili,wanawake wanaokubali kubaki na rangi zao halisi ni wa vijijini (wale wa town walioamua kubaki na rangi zao nawapa big up sana)
Ila mbona mkiwa na rangi zenu za asili ndo mnapendeza sanaa.
Miezi 6 iliyopita niliingia kwenye mahusiano na mwanamke mmoja ,ebanaee huyu sijui alikuw anakula vidonge yaan ni mweupe, (niliamua nitest vyombo kwa mwanamke mweupe) shingoni ndo palimharibia maaana palikataa kubadilika, weusi ukabaki pale pale.
Sasa saivi sijui amekuwaje hadi namuonea huruma kwa aibu anazopata hasa akiwa na mimi, cream imekataa kabsa.
Rangi yake ya zamani imeanza kurudi bahati mbaya imerudi na vidoa doa usoni, sehemu nyingi tu weusi unarudi kwa speed, anajitahidi kupampana lakini wapi.
Kibaya zaid umekuja ule weusi wa kufubaa sio wa kung'aa tena. Stimu imekata hata nikiwa nae sipigi game vizuri kama zamani, havutii kabsa.
Au unakuta mwanamke umeingia nae lodge ,kucha ndefu,amepaka make up muda wote ananukia kama pilau, unamuomba mkaoge anakataa, unagundua akioga booster zitaondoka na maji.