Wadada acheni hizo!

Wimana

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2012
Posts
2,449
Reaction score
718
Ni hali ngumu ya uchumi?
Ni kwenda na wakati?
Ni kuporomoka kwa maadili?
Ni biashara? Au ndio kutafuta kuolewa?

Niko kwenye sherehe ya send off Urafiki Social Hall. Sio kama ni mgeni wa sherehe za namna hii, lakini naona imezidi. Wadada wengi, wasichana kwa wadada wametoka na viwalo vya kutia aibu, kwa kweli nimefadhaika sana na nimepata picha kwa nini nyakati hizi zimekuwa zama za ngono huria na holela!

Wadada, kama kweli mnawaza kuolewa, kwa staili hizi basi sahauni kuwa na ndoa za kudumu.
 
mkuu c unaona OPEN UNVERSITY zimekua nyingi ndo hata OPEN NGONOLISTY zimeongezeka. yaani me Nina hasira na hiyo midada.
 
ndio wadada wa dot com hao
akienda kwny shughuli mwili
wote nje,mi hua sielew y?
labda mie mshamba hah!!
 
co we peke yk passion lady na after low kuvaa nusu uchi co ndo utapata bwana na ukimpt utaishiwa kugegedwa hlf hbr inaisha.
 
co we peke yk passion lady na after low kuvaa nusu uchi co ndo utapata bwana na ukimpt utaishiwa kugegedwa hlf hbr inaisha.

na kweli tunagegeda na kusepa ...sii umejiweka kimalaya malaya so utapata unachotaka
 
..kwani tatizo lako ni nini? ndivyo walivyoumbwa, ulitaka wavae BAIBUI au madera?
 
Ishi maisha yako mkuu, ulimbukeni wa mwingine usiwe kikwazo kwako.
 
watu8
nahisi huwez kuwa na chembe hata ya kumkemea mtoto wako au mdogo wako au dada yako au mke wako akivaa hvyo.
kuna philosopher mmoja aliwah sema. Dunia inaangamia sio kwa sababu ya wanaotenda maovu ila ni kwa sababu ya watu wema hawachukui hatua maana watenda maovu ni wachache kuliko wema.
 
Acha ushamba wewe! Acha watoto wa kike wapendeze, hujui sisi wanaume ndio fahari ya macho kuangalia watoto wazuri kwenye shughuli kama hizi. Kama hupendi kuoana lala nyumbani hamna mtu aliekulazimisha kutoka..
 

Fuata kilichokupeleka, mambo ya ngoswe muachie ngoswe mwenyewe! Kama hao huwawezi waachie wenyewe wakina Erickb52, we nenda kule kijijini Sitimbi kachukue wa dinali yako!
 
Last edited by a moderator:

Mwambie hyo mkuu. Kiukweli hata mimi mwenyewe huwa najiskia aibu pindi napokutana na wadada wa aina hyo. Nasikitika sana na cjui tufanyaje juu ya hilo
 
Acha ushamba wewe! Acha watoto wa kike wapendeze, hujui sisi wanaume ndio fahari ya macho kuangalia watoto wazuri kwenye shughuli kama hizi. Kama hupendi kuoana lala nyumbani hamna mtu aliekulazimisha kutoka..

Mavazi yapo yakumfanya mwanamke apendeze na kuwa na muonekano mzuri lakini c yakuacha maungo muhim nje kama maziwa au kitovu au mapaja. vaa vizuri kistaarab utatokelezea. sasa wewe ukishamuona kaka uchi haraf baada ya hapo unapata faida gani??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…