klorokwini
JF-Expert Member
- Dec 2, 2009
- 8,647
- 5,145
Hehehe ubalozi wa azebaijan ukisema shkamoo wanakunyima viza. Ina maana chafu sana kwa kiazabaijanNaona klorokwini anajivuuuuuta kuipokea !
Anaonekana huyu tangu asubuhi keshapokea nyingi ! Zimemlevya, afu mbona mi hunipaki Shkamoo ? Naambuliaga "Hi" au "Mambo?" "Hujambo?" baaas!
Au kwa vile tunajuana kwa nguo za kuogea ?
Ok wekeni pozi niwafotoe moja ya kumbukumbu, mwambieni BelindaJacob asogee pembeni kidogo asiwazibenimpendae huyo hapo, mzima wa afya tele hana utapiamlo wala kitambi cha minyoo.
Ok wekeni pozi niwafotoe moja ya kumbukumbu, mwambieni BelindaJacob asogee pembeni kidogo asiwazibe
Ok wekeni pozi niwafotoe moja ya kumbukumbu, mwambieni BelindaJacob asogee pembeni kidogo asiwazibe
tupige na bj, nilipoteza picha yake. pafyumu yangu inukie kwenye picha.
Poa, legeza macho kidogo basi.tupige na bj, nilipoteza picha yake. pafyumu yangu inukie kwenye picha.
Sema la'aziz kipande cha mzizi, inabidi na wewe utokee kwenye picha nikupe na busu kalii la kufungia April @Klorokwin
shikamoo mme wangu! Ai lavu yu, mwaaaah!
M a r h a b a !
Unazidi kuniroga bila hata ya kwenda Sumbawanga!
Mdomo wako tu! na the way you are!
Ni Sumbawanga tosha !
Nafikiria kuweka lami barabara ya kwenda kijijini kwenu, niitoe kwenye kiwango cha changarawe.
haa!....watu wana bahati zao jamani... mtu chake kuja soma hapa....
nao kwa mawazo yao finyu wanaona ni kweliii.....
kumbe mtu ulishajaza Yutong 4 na fuso 2......cheni bandia......pesa bandia......nani mjanja.....
kudadalusinde.....
M a r h a b a !
Unazidi kuniroga bila hata ya kwenda Sumbawanga!
Mdomo wako tu! na the way you are!
Ni Sumbawanga tosha !
Nafikiria kuweka lami barabara ya kwenda kijijini kwenu, niitoe kwenye kiwango cha changarawe.
naomba namba zako nikufanyie "uhakiki"heri mimi huwa namwambia mi bikra .sijamjua mwanaume bado
kumbe list chalinze mwanzaaaa......
kudadalusinde....
Jela kivipi ? Fafanua
Kuta unaanza kuni'orodheshea matatizo ya Yaeda, Umeme mnao ?
Maji ?
Hospitali madawa? Kaeni mkao wa kufaudu !
bebi yangu alikuwa anamaa nisha hivi.....
nilikuwa namnyoa ndevu akaquote vibaya......samahani shem Judgement......kwa usumbufu niliosababisha......