Maundumula
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 7,550
- 3,092
umemuona kanumba leo?Kwhyo unasapoti uongo?
heri mimi huwa namwambia mi bikra .sijamjua mwanaume bado
kumbe list chalinze mwanzaaaa......
kudadalusinde....
heri mimi huwa namwambia mi bikra .sijamjua mwanaume bado
kumbe list chalinze mwanzaaaa......
kudadalusinde....
nao kwa mawazo yao finyu wanaona ni kweliii.....
kumbe mtu ulishajaza Yutong 4 na fuso 2......cheni bandia......pesa bandia......nani mjanja.....
kudadalusinde.....
mie first date sitokwambia yote hayo, usually napenda kuobserve, kusoma body movement zake, kumwangalia anavyoongea na simu na reaction kwenye kila simu......anavyotreat barmaids nk..............
Ukiniuliza mahusiano yangu ya nyuma nakutajia mmoja tu uliopita, kungwi wangu aliniambua simwambue mwanaume siri zote ambazo anaweza kuzitumia kukuumiza....
Bora umewaambia, na kuna wengine sku ya kwanza mtu anakujia na mavyeti ya angaza. Sasa ndio iweje? kama umepima wewe tena ndio kila mtu akapime?
class bulldog kingdom mammalia nyambaaf kabisa .
shkamoo lawyer.
E bana tuszeeshane, mzembe ndo kwanza nimeota sharubu juzi.
sema gud moning
shkamoo lawyer.
gud aftanuni loya. Hau a yuu?
Naona klorokwini anajivuuuuuta kuipokea !
Anaonekana huyu tangu asubuhi keshapokea nyingi ! Zimemlevya, afu mbona mi hunipaki Shkamoo ? Naambuliaga "Hi" au "Mambo?" "Hujambo?" baaas!
Au kwa vile tunajuana kwa nguo za kuogea ?
Si unaona tunavopendeza tukiongea kiingereza. Umpendae hajambo?