Mkuu upo kama mimi, demu akiniomba pesa sitoi kirahisi nitaanza kuchanganua hivi nikimpa nitakula kweli mzigo badae nikipata jibu basi nitafanya maamuziKosa ndio lilipo anzia, kabla ujala mzigo toa ela ambayo hata ukiipoteza utoumia sio unajifanya ww ndio unazo, mimi ukiomba tu elfu ela ambayo itaniuma nafuta namba naendelea na maisha
Ngoja nitafute demu mkali akinishinda nitakupm mkuuHehehe kuna jamaa mmoja best yangu huku kkoo aliniambia mdogo wangu kuwa mjanja....dem mgumu unamuendea kwa babu ana mset kimazingara analainika mwenyewe unakula mzigo unavyo taka ukitosheka una bwaga....nilibisha sana ila amini nawaambieni hizi mambo zipo sana.
Hahahaha
Hujawahi jiuliza kuna wanawake wagumu kweli kweli lakini unakuja kuona ana megwa na mtu wa kawaida tu na jamaa hatoi Cent 2 hata.
Sawa kabisa alivyofanya,ndo wakome ***** zao,kama hunimaindi usile mpunga wanguIla sio fair chief, kama hela alizoliwa zimeshafika alizokulia, muonee huruma muondoshee huo udhia, mtafute mpe na onyo tu, mwambie "Sio kila mtu, hela yake inaliwa kizembe"
Sent using Jamii Forums mobile app
Tusiwe na roho mbaya kiasi hicho.Sawa kabisa alivyofanya,ndo wakome ***** zao,kama hunimaindi usile mpunga wangu
Kwani alikushikia kisu umpe hela?
Mimi nikitaka changu kutoa sioni shida natenga kabisa fungu la kuhonga hadi nifanikiwe
Wadada mnatuchanganya sana
GoodHela zangu tu zinanishinda kumaliza...naanzaje kutamani za mtu mwingine.
Wewe hutoi zaidi ya buku? Upo mkoa gani?Kosa ndio lilipo anzia, kabla ujala mzigo toa ela ambayo hata ukiipoteza utoumia sio unajifanya ww ndio unazo, mimi ukiomba tu elfu ela ambayo itaniuma nafuta namba naendelea na maisha
mwambie aje geto kuchukua laki.
na akija kavaa pedi yake feki mwambie pedi kila mtu anaweza kuvaa unamuonyesha na wewe umevaa ya mfano.
Ni kweli lakini hukupaswa kutoboka kwa mapema kiasi hicho, 80,000/= nyingi sana ata mzigo ujala
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app