Wadada acheni hii kitu

watu mna hela.

pesa nnayomvumilia mwanamke bila kumla ni buku ya vocha,hata akisema nitume nauli,huwa namwambia kopa utaikuta huku.

mwenye nia hawezi kuacha kuja au atoe visingizio vingine,na namheshimu sana mwanamke anaye keep promise,hata kama ni mchafu huwa namheshimu sana.
 
Kuna mmoja kala hela yangu kama mara tatu na ikifika siku ya kutoa mzigo hapokei simu, nimempiga tego sasa hivi anatoka damu mfululizo karudi kijijini huko analiwa pesa na waganga na tatizo lipo pale pale
Sina shaka wewe ni Mzigua...
 
Wazungu ndio wanatoa hela bure?
Ukila hela ya mtu na wewe toa ulichopewa huo ndio uungwana
Ukiona hujapewa ujue hajapendezwa na wewe lakini hakuna mtu duniani anachukizwa na pesa, 'Baniani mbaya, kiatu chake dawa' au 'Pesa sabuni ya roho'....
 
mm huwa natoa hela baada ya kula mzigo,
 
 
Ukiona hujapewa ujue hajapendezwa na wewe lakini hakuna mtu duniani anachukizwa na pesa, 'Baniani mbaya, kiatu chake dawa' au 'Pesa sabuni ya roho'....
Mnapenda wapaka poda wakati mifukoni hawana kitu kuleni hizo poda zao acheni kuchukua hela za wanaume wa kazi
 
Wanaojifarijigi wanaanza kujizoesha kutunza familia mpo..........
 
Fafanua kidogo hapa unamaanisha nini?
Siku hizi wanaume wengi hawaringi kutoa yaani tunajifunza kuhudumia family ila sasa utata unakuja mwanamke akiwa yupo kwenye mahusiano kimaslahi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…