Wachungaji wasaidizi na Walinzi wa Gwajima wakamatwa na Polisi

Katika mazingira yasiyo ya KAWAIDA, Usiku huu majira ya saa tisa polisi wamewakamata wachungaji na viongozi waandamizi wa kanisa la Ufufuo na Uzima waliokua wakimuangalia Askofu Gwajima.

Mpaka sasa Askofu Gwajima yupo peke yake hospitali.

Magari ya polisi na silaha zimewachukua viongozi wote

Tafadhali, Wakristo na wapenda haki wote tuwe macho kwa jambo hili na ubaya wa Jeshi la Polisi nchini

Dr. Ulimboka, huyo akimaliza miezi 4 duniani basi hatakufa tena
 
Wacha wakamatwe HV hii aman pamoja na kuibiwa rasilimal zetu kuna shda gan jaman aman nkutu ambacho kkppteakukirudsha Ni gharama kubwa
 
Kwani watumishi wa Gwajima wanakosa gani? Polisi wa Tanzania ni mabwege tu hata kufikiria hawafikirii

wewe unamafunzo. gani ya usalama...kwani polisi kukukamata mpaka uwe na kosa...polisi hawaukumu mtu...ila wanapokea malalamiko na kuyafanyia kazi......badilikeni bana mana kila siku watu wa lawama tu....enhe ww unajua walichokifanya hao,je, umeambiwa kwenda polisi ndo kifungo
 
Last edited by a moderator:
Mtu akikupiga kofi la kulia mgeuzie na la kushoto, na akikuvua joho mpe na kanzu.

Huu ndio ukristo. Ukristo hauko katika misingi ya kulipiza kisasi. Bwana Pengo usipoangalia, unatumika kama chambo. Unless unajua unachokifanya. Vinginevyo unawaponza wakristo wote.

Unachokifanya kwa sasa hakina tofauti na wanaovaa mabomu kulipa kisasi. Jumapili njema, pitia huu uzi na ufikirie upya.

Acha kulalama hebu nenda hospitali ukamwone mchungaji wako alivyovalishwa pampaz. Afu uje ushuhudie hapa kwamba kuropoka kubaya
 
Unamtukana pengo then unadhan utabaki salama?ndo wenye nchi hao kama ulikua hujui ndugu gwajima.

Si pengo tu aliyetukanwa, gwajima alitukana na polisi, na mahakama na bunge. Na alisema hivyo vyote haviwezi kumzuia. Kama police wanampigania pengo basi ufalme wa pengo ni wa dunia hii tu
 
Mtu akikupiga kofi la kulia mgeuzie na la kushoto, na akikuvua joho mpe na kanzu.
Huu ndio ukristo. Ukristo hauko katika misingi ya kulipiza kisasi. Bwana Pengo usipoangalia, unatumika kama chambo. Unless unajua unachokifanya. Vinginevyo unawaponza wakristo wote.
Unachokifanya kwa sasa hakina tofauti na wanaovaa mabomu kulipa kisasi. Jumapili njema, pitia huu uzi na ufikirie upya.

Ha ha aaa pole mkuu Hunyu. . .. . . .Kaizari sasa ndio anafanya yake
 
Last edited by a moderator:
Polisi ndio vyombo vyetu vya usalama. Kwahiyo wanajua tusiyoyajua.
Polis fanyeni kazi yenu kisha toeni mrejesho kwa umma. Gwajima alishatukana sana watu,serikali,rais,waislam na imekuwa kawaida yake kudharau dola.

Kwa sababu hiyo Gwajima akiwa hospitali ndugu zake hawatakiwi kumwangalia? Hao watu wake Gwajima walikuwepo mchana kutwa sasa kwa nini wachukuliwe usiku kama vile walikuwa wakiwawinda bila kujua walikokuwa siku nzima?
 
Mtu akikupiga kofi la kulia mgeuzie na la kushoto, na akikuvua joho mpe na kanzu.

Huu ndio ukristo. Ukristo hauko katika misingi ya kulipiza kisasi. Bwana Pengo usipoangalia, unatumika kama chambo. Unless unajua unachokifanya. Vinginevyo unawaponza wakristo wote.

Unachokifanya kwa sasa hakina tofauti na wanaovaa mabomu kulipa kisasi. Jumapili njema, pitia huu uzi na ufikirie upya.

Kwani Pengo ndioanasimamia sheria za nchi??

Huyo gwajima anahojiwa na police kwa kumtukana kiongozi wadini ambae anawafuasi wake, kitendo alicho kifanya cha kumtukana pengo, kinaweza kuharibu amani. Kwahiyo asipo kuwa na Maelezo ya maana, naikaonekana anakesi ya kujibu, anaweza kushtakiwa na jamuhuri. Sasa wewe unamlaumu Pengo kwa lipi, au unataka Pengo afanye nini???.
 
Lazima wapate misuko suko, hawajui Katoliki ni Serikali !?.....bado kile kijiwe pale Kawe lazima kifungwe

Kama kazi ni ya mungu huwezi kuizima, subiri uone. Akina gwajima mungu ndo anaewapigania, gwajima anatoa mapepo, anaponya magonjwa yaliyoshindikana mahospitalini, anarudisha misukule, anafufua wafu . Sasa mungu aachie kifaa kama hicho ambakishe pengo? Uliona wapi askofu pengo anatoa pepo, kuponya magonjwa au kufufua wafu. We subiri tu. Gwajima anafurahi saa hizi, kwa sababu anajua limefika mahala pake.
 
Back
Top Bottom