Wachungaji wa kirokole mtaingia mbingu gani

Wachungaji wa kirokole mtaingia mbingu gani

Status
Not open for further replies.
sitaki kubishana na wewe ila maombi peke yake hayatoshi. Waacheni watu waende hospitali wakatibiwe msiwapotoshe na hayo maombi matokeo yake wanaishia ktk matatizo

Je, ni kweli kwamba makanisa ya kilokole huzuia waumini wake kwenda hospitali?
 
sitaki kubishana na wewe ila maombi peke yake hayatoshi. Waacheni watu waende hospitali wakatibiwe msiwapotoshe na hayo maombi matokeo yake wanaishia ktk matatizo

Ndugu, hivi unafahamu kuwa wapo madaktari wengi tu ambao ni walokole? Ni mbaya sana kuzusha maneno ya uongo, mwisho wake ni aibu.
 
What kind of spirit is this? Naona unaihubiri injili pasipo nukuu ya maandiko. Mimi nakupa nukuu hapa:

Timotheo 2
23 Walakini uyakatae maswali ya upumbavu yasiyo na elimu, ukijua ya kuwa huzaa magomvi.
24 Tena haimpasi mtumwa wa Bwana kuwa mgomvi; bali kuwa mwanana kwa watu wote, awezaye kufundisha, mvumilivu;
25 akiwaonya kwa upole wao washindanao naye, ili kama ikiwezekana, Mungu awape kutubu na kuijua kweli;
26 wapate tena fahamu zao, na kutoka katika mtego wa Ibilisi, ambao hao wametegwa naye, hata kuyafanya mapenzi yake.

askofu feki juzi kati alijitia kutembea juu ya maji. mbona alizama. rwakatare. gwajima. mzee wa upako. huyu wa mwenge mwenye kuzaa na wake za watu eti mtume. hata hammwogopi MUNGU. kuna yule mngese eti ana ukumbi wa disco la kilokole la usiku wakati tunajua anatafunwa. nyie watu nyie. eti chuo cha utume kiko wapi. mmelaaniwa nyie kwa kupenda pesa na ngono zembe.
 
Inasikitisha na inahuzunisha sana niko Biharamulo mkoa wa kagera. mdahu kunamama amefariki. mmewake ana ng'ombe nyingi tu, alimpeleka mkewake hospitar ya wilaya akapewa rufaa kwenda Bugando yeye akamludisha kwa mchungaji kumuombea sasa amekufa

Hakuna mtu ataitwa Mchungaji bilakumupokea YESU!!!
Kama huyo yupo kwako ujue na wewe kuna wasiwasi mkubwa wa wewe kuiona Mbingu ambayo watu walio okoka wanakwenda!!!
 
Hate from Muzzies. No Source. Can't verify News. It is just Pathetic when a Muzzie is spewing venomous hate. If it was a Muhammadans who is in issue, I bet you, you will have a Ban as we speak. What a diabolical double standard in JF.
 
Huwa sina kawaida ya kuongea wala kupost ila post yako imenifanya nicomment Ulaaniwe huwezi ita imani za wenzako dini ya mashetani shetani ni wewe hapo mwenyewe naruudia tena Ulaaniwe una mapepo si bure

Usilaani wengine ili nawe usilaaniwe, usilaani bali bariki tu!
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom