Wachungaji wa kirokole mtaingia mbingu gani

Wachungaji wa kirokole mtaingia mbingu gani

Status
Not open for further replies.
wewe nawe una kanisa lako pole sana kwakughafilika mkuu hahahahahahahahahahahaahahahahahahahah
msumariiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii ukirusha jiwe gizani ukisikia yalaaaaaaaaaaaaaaa jua limegusa penyewe

Nimeipenda sana signature yako.
 
Huwa sina kawaida ya kuongea wala kupost ila post yako imenifanya nicomment Ulaaniwe huwezi ita imani za wenzako dini ya mashetani shetani ni wewe hapo mwenyewe naruudia tena Ulaaniwe una mapepo si bure

Ingekua vema ungekua na andiko ukamfundisha akaelewa ukweli au ukamsamehe bure kwa kile asichokifahamu Kwani hiyo ndio taratibu za uanafunzi Wa Yesu! Lkn kwa kutoa laana juu Yake harakaharaka bila kumfundisha kutamfanya ajue umekosa cha kujitetea!

Na mimi pia nikuulize Kwanini kuna madhehebu mengi sn na kila moja linadai ndio liko sahihi kumfikisha mwanadamu kwa Mungu? Au kuna haja ya kua ktk Imani bila kua na Kanisa? Au Imani ndio itakayo mfikisha mwanadamu mbinguni? Na lipi ni Kanisa la kweli?

Naomba majibu Tafadhali!
 
hebu andika kama mtu timamu mkuu maana hicho kiswahili kama taahira wa Mirembe aliyemwibia simu docta akaamua kupost uzi JF
 
kama maombi yanatosha Hospitar za dini zinajengwa za nini?. acheni kupoteza watu kwa ujinga kama huu
Mambo haya yote mawili yanategemeena,hospitali zimejengwa zisaidie wagonjwa,pia kuna wagonjwa wanashindikana hospitalini wanapona kwenye maombi.Imani yoyote isiyoitambua hospitali hiyo imani siyo sahihi.na madaktari wasioamini kuwa kuna maombi ikiwa na maana kuwa hospitali zinatosha nao hawako sahihi,kwasababu kwenye mahospitali kuna vyumba vya kuhifadhi maiti ikiwa na maana kwamba mtu anaweza kufia hospitalini,
Tukubali kwamba mambo haya yote yanategemeana,ndo maana wamissionary walifundisha watu neno la Mungu na wakajenga mahospitali.
 
tatizo tulilo nalo waKIRISTO hasa walokole, wanang'ang'ania kumuombea mtu apone kimwili nasi kiroho kifo kipo hata YESU akija watakao kutwa hai(watakatifu) laazima wabadirike wavae kutokufa ndipo waione mbingu wagonjwa tuwape sala ya toba kbr ya kifo
 
Mi wala simlaumu mchungaji,nawalaumu hao waumini wasiojielewa,hivi mtu na akili zako kweli unaumwa unaenda kuombewa badala ya kwenda hospitali inahusu?mchungaji mwenyewe akiumwa anaenda hospitali ,kwa nn asijiombee akapona?ila mnaojiita walokole punguzeni,mnamdhihaki mungu kwa matendo mengine ya ajabu
 
Watashindana lakini hawatashinda, watajaribu kupigana nanyi hawayaweza. Mwisho wa siku wafu watazikana wao kwa wao maana sasa hivi biashara zimeingia hadi katika Imani za dini.
 
Sasa kama mtu kapewa rufaa ya kwenda Bugando, yeye akachagua kwenda kanisani, ni kosa la mchungaji au mwenye mgonjwa?
 
Huwa sina kawaida ya kuongea wala kupost ila post yako imenifanya nicomment Ulaaniwe huwezi ita imani za wenzako dini ya mashetani shetani ni wewe hapo mwenyewe naruudia tena Ulaaniwe una mapepo si bure

kweli mungu awasamehe bure hawa walokole,mara wajiite wazee wa upako,akishajia mafungu mawili kwenye biblia anaanzisha kanisa,sadaka za waumini ndo posho yake,wanawadanganya watu kunena kwa lugha eti ndo roho mtakatifu kumbe fujo tuu jamani ninyi walokole mnawapa watu mapepo nakuwaombea hivi mtawapeleka mbingu ya nani hawa watu mnaowapoteza nona uchungu sana mimi,,,,,,daaaaa
 
Nahisi wewe ni mjumbe wa kuzimu. Pole kwa kutokuujua ukweli.
 
Ya Mungu mengi ila kipimo utumiacho kumhukum mwenzio ndo kitatumika kukuhukumu wewe fanya yanayokuhusu

Usemayo ni kweli.

Si muumini wa dhehebu tajwa lakini mavuno nyamanoro, nikuulize swali, mbona lugha kali namna hiyo?

Umesema mgonjwa alilazwa na kisha kupewa rufani/rufaaa, sasa noelewavyo mimi ni kuwa maisha ya mgonjwa yalikuwa katika uwezo wa kuokolewa/kupona/kuleta unafuu au kurejea kwenye hatua ya awali.Na kwa kawaida mgonjwa/ndugu wa karibu wa mgonjwa hupewa taarifa juu ya uhamisho/rufaa hiyo.

Ni uamuzi wa mgonjwa/ ndugu/rafiki wa karibu wa mgonjwa kuamua kukubali au kukataa, na endapo atakataa rufaa hiyo kwa sababu yeyote ile basi atafanya kukingana na matakwa yake.Katika kisa hiki mgonjwa alipelekwa kanisani, sasa kama Mchungaji sidhani anaweza kuhafifisha Jina la Mungu wake kwa kusema hawezi(hasa baada ya kusema mgonjwa alikuwa amelazwa), wakayi fulani wagonjwa/ndugu wa karibu wa mgonjwa huwaambia wachungaji/mashekhe/imamu kuwa "Hospitali imeshindikana" au "ugonjwa hauna tiba yake"l akini WASISEME kuwa walipata rufaa.

Sasa katika hili kosa la Mchungaji lilikuwa wapi?Huoni unawahukumu Wachungaji wa dhehebu hilo kwa sababu ya mtu mmoja tena, isiyeeleweka maelezo kamili ya kisa chake?
Ukisemwa una Udini itakuwa nalo ni kosa?
 
Last edited by a moderator:
nimelazimika kuhudhulha huu msiba ili nione mwisho wake. jamaa mfiwa namuona hapa anajidai kulia, inasemekana ana ng'ombe zaidi ya kumi lakini kagoma kuuza ili amtibie mke wake

Hongera jamii inteligensia; Kweli weye wafaa sana. Hivyo safari yako yoote ni kwenda kupima kiasi cha machozi anayotoa mfiwa?
Hivi kwenu wanaume wakilia hupiga yowe au? Kwetu mwanaume kulia kwake ni kupiga goti tu. Kamaliza kilio sasa weye umeenda kumchungulia anavyolia mbona hukumfundisha kulia?
Tena unatuambia umesikia jamaa anazo ng'ombe kumi, Ole ni wako, ikipotea hata ndama. Weye upo hapo ka mwizi hivi au unatafuta njia ya kumwibia mwenye mke. Au weye ndo ulikuwa unambanjua marehemu?? Unakosa aibu mpaka unawatukana watumishi wa Mungu na kusema hujui watingia mbingu gani, weye unaingia mbingu ipi hiyo ya kumdhihaki mtu aliye fiwa na mke wake? Ulikuwa na uhakika gani kuwa angefika Bugando ndio angeishi? Ni kazi ya mwananchi kusafirisha wagonjwa mahututi au kazi ya hospitali husika? Tumia akili kidogo tu utauona upuuzi wako
 
Huyu kama si Lusekelo,Rwakatare,gamanywa,gwajima,kakobe au malisa au mchungaji yeyote wa kilokole,naona umeambiwa ukweli umekasirika,ukweli unauma ila HUYO MTU KA POST UKWELI NA YESU KAMWONGOZA HATA UKINUNA HUO NDIO UKWELI.MNAPOTEZA WATU BWANA.KWANINI MNAPOTOSHA BIBLE?

Wanaojenga hosp ni wakristo wa kweli kama vile katoliki. anglikana. lutheran .au SDA. walokole ni watu wa shetani na hawajengi hospitali na kila kanisa la walokole ni la mtu na huyo ndio anakula sadaka utakuta msaidizi au namba two ni mke wake. wanasiri gani ? wanajipa uaskofu au hata utume. mifano iko mingi Dar na unaijua kama mwenge. ubungo n.k

Ndugu mnaojiona wakristo wa kweli, mngefanya kitu cha maana sana kama hoja zenu mngezipatia uzito wa maandiko ili iwe sababu ya wengine kuijua hiyo kweli iliyoko huko. Kumbukeni Biblia Takatifu ndio standard. Nawasubiri mnihubirie huyo Kristo wa kweli.

Yesu Kristo awabariki nyote.
 
Huwa sina kawaida ya kuongea wala kupost ila post yako imenifanya nicomment Ulaaniwe huwezi ita imani za wenzako dini ya mashetani shetani ni wewe hapo mwenyewe naruudia tena Ulaaniwe una mapepo si bure

narudia tena. walokole ni longolongo tu. wanatembea na wake za watu. sadaka ni mali yao binafsi ndio maana maaskofu feki wa kilokole wana utajiri wa kupindukia. mmoja wenu ana kesi ya kuzaa na mke wa mtu mahakamani. mshindwe wezi nyie. Makanisa ya ukweli ni katoliki. anglican kkkt. sda. mnajifanya mnaponya wagonjwa kwani muhimbili hampajui. mgonjwa atawafuata mwenge waqt hawezi kutembea.
dini gani ina tajiri mmoja na kondoo wote maskini uliona wapi mchungaji au askofu feki anatembea na hammer waqt waumini ni walalahoi. ulokole ni ushetani ndio maana hata kwa waganga mnakwenda. Kibwetere wewe
 
tatizo tulilo nalo waKIRISTO hasa walokole, wanang'ang'ania kumuombea mtu apone kimwili na si kiroho kifo kipo hata YESU akija watakao kutwa hai(watakatifu) laazima wabadirike wavae kutokufa ndipo waione mbingu wagonjwa tuwape sala ya toba kbr ya kifo

Yakobo 5
14 Mtu wa kwenu amekuwa hawezi? Na awaite wazee wa kanisa; nao wamwombee, na kumpaka mafuta kwa jina la Bwana.
 
Yesu anaponya bado viwete wanakwenda viziwi wanasikia wenyeukoma wanatakaswa ukimwi unapona njooni kwake mponya Yesu kristo

Ndo wapotoshaji nyie mpaka watu wanakufa!
 
narudia tena. walokole ni longolongo tu. wanatembea na wake za watu. sadaka ni mali yao binafsi ndio maana maaskofu feki wa kilokole wana utajiri wa kupindukia. mmoja wenu ana kesi ya kuzaa na mke wa mtu mahakamani. mshindwe wezi nyie. Makanisa ya ukweli ni katoliki. anglican kkkt. sda. mnajifanya mnaponya wagonjwa kwani muhimbili hampajui. mgonjwa atawafuata mwenge waqt hawezi kutembea.
dini gani ina tajiri mmoja na kondoo wote maskini uliona wapi mchungaji au askofu feki anatembea na hammer waqt waumini ni walalahoi. ulokole ni ushetani ndio maana hata kwa waganga mnakwenda. Kibwetere wewe

What kind of spirit is this? Naona unaihubiri injili pasipo nukuu ya maandiko. Mimi nakupa nukuu hapa:

Timotheo 2
23 Walakini uyakatae maswali ya upumbavu yasiyo na elimu, ukijua ya kuwa huzaa magomvi.
24 Tena haimpasi mtumwa wa Bwana kuwa mgomvi; bali kuwa mwanana kwa watu wote, awezaye kufundisha, mvumilivu;
25 akiwaonya kwa upole wao washindanao naye, ili kama ikiwezekana, Mungu awape kutubu na kuijua kweli;
26 wapate tena fahamu zao, na kutoka katika mtego wa Ibilisi, ambao hao wametegwa naye, hata kuyafanya mapenzi yake.
 
narudia tena. walokole ni longolongo tu. wanatembea na wake za watu. sadaka ni mali yao binafsi ndio maana maaskofu feki wa kilokole wana utajiri wa kupindukia. mmoja wenu ana kesi ya kuzaa na mke wa mtu mahakamani. mshindwe wezi nyie. Makanisa ya ukweli ni katoliki. anglican kkkt. sda. mnajifanya mnaponya wagonjwa kwani muhimbili hampajui. mgonjwa atawafuata mwenge waqt hawezi kutembea.
dini gani ina tajiri mmoja na kondoo wote maskini uliona wapi mchungaji au askofu feki anatembea na hammer waqt waumini ni walalahoi. ulokole ni ushetani ndio maana hata kwa waganga mnakwenda. Kibwetere wewe

E bwana umeua! umemaliza, mimi siongezei kitu
 
Ukweli wako ni upi? Kwamba Yesu haponyi? Mbona unabisha tu bila kusema ukweli ni upi?

sitaki kubishana na wewe ila maombi peke yake hayatoshi. Waacheni watu waende hospitali wakatibiwe msiwapotoshe na hayo maombi matokeo yake wanaishia ktk matatizo
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom