Wachungaji wa kirokole mtaingia mbingu gani

Status
Not open for further replies.

mavuno nyamanoro

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2013
Posts
587
Reaction score
156
Inasikitisha na inahuzunisha sana niko Biharamulo mkoa wa kagera. mdahu kunamama amefariki. mmewake ana ng'ombe nyingi tu, alimpeleka mkewake hospitar ya wilaya akapewa rufaa kwenda Bugando yeye akamludisha kwa mchungaji kumuombea sasa amekufa
 
Hahahahahahahahahaaaaaa!
Mambo mengine uji.nga mtupu!
 
Yesu anaponya bado viwete wanakwenda viziwi wanasikia wenyeukoma wanatakaswa ukimwi unapona njooni kwake mponya Yesu kristo
 
kama maombi yanatosha Hospitar za dini zinajengwa za nini?. acheni kupoteza watu kwa ujinga kama huu

Wanaojenga hosp ni wakristo wa kweli kama vile katoliki. anglikana. lutheran .au SDA. walokole ni watu wa shetani na hawajengi hospitali na kila kanisa la walokole ni la mtu na huyo ndio anakula sadaka utakuta msaidizi au namba two ni mke wake. wanasiri gani ? wanajipa uaskofu au hata utume. mifano iko mingi Dar na unaijua kama mwenge. ubungo n.k
 
Huwa sina kawaida ya kuongea wala kupost ila post yako imenifanya nicomment Ulaaniwe huwezi ita imani za wenzako dini ya mashetani shetani ni wewe hapo mwenyewe naruudia tena Ulaaniwe una mapepo si bure
 
huwa sina kawaida ya kuongea wala kupost ila post yako imenifanya nicomment ulaaniwe huwezi ita imani za wenzako dini ya mashetani shetani ni wewe hapo mwenyewe naruudia tena ulaaniwe una mapepo si bure
wewe nawe una kanisa lako pole sana kwakughafilika mkuu hahahahahahahahahahahaahahahahahahahah
msumariiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii ukirusha jiwe gizani ukisikia yalaaaaaaaaaaaaaaa jua limegusa penyewe
 
Inasikitisha na inahuzunisha sana niko Biharamulo mkoa wa kagera. mdahu kunamama amefariki. mmewake ana ng'ombe nyingi tu, alimpeleka mkewake hospitar ya wilaya akapewa rufaa kwenda Bugando yeye akamludisha kwa mchungaji kumuombea sasa amekufa

Sio kirokole ni kilokole man
 
wewe nawe una kanisa lako pole sana kwakughafilika mkuu hahahahahahahahahahahaahahahahahahahah
msumariiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii ukirusha jiwe gizani ukisikia yalaaaaaaaaaaaaaaa jua limegusa penyewe

Hapana mkuu sema mimi ni mlokole pure sijapenda jamaa alivosema kua ni dini ya kishetani
 
Huwa sina kawaida ya kuongea wala kupost ila post yako imenifanya nicomment Ulaaniwe huwezi ita imani za wenzako dini ya mashetani shetani ni wewe hapo mwenyewe naruudia tena Ulaaniwe una mapepo si bure

du! msameheme bure. alikuwa na maana nzur sema amekosa kutumia hekima. muombee ili siku nyingine asiandike kwa kukurupuka.
 
Ya Mungu mengi ila kipimo utumiacho kumhukum mwenzio ndo kitatumika kukuhukumu wewe fanya yanayokuhusu
 
nimelazimika kuhudhulha huu msiba ili nione mwisho wake. jamaa mfiwa namuona hapa anajidai kulia, inasemekana ana ng'ombe zaidi ya kumi lakini kagoma kuuza ili amtibie mke wake
 
Inasikitisha na inahuzunisha sana niko Biharamulo mkoa wa kagera. mdahu kunamama amefariki. mmewake ana ng'ombe nyingi tu, alimpeleka mkewake hospitar ya wilaya akapewa rufaa kwenda Bugando yeye akamludisha kwa mchungaji kumuombea sasa amekufa
Sijakuelewa bado hasa hayo maneno; "kirokole" mdahu??, ng'ombe "nyingi", "hospitar", "akamludisha"
 
Kwanza tukubaliane kitu kimoja, kuwa kifo kwa mwanadamu hakiepukiki. Kila nafsi itaonja mauti, maandiko yanasema. Hata hivyo kwa muda mrefu mwanadamu amekuwa akijibiidisha kukwepa kifo, ndio maana tunaenda hospitali au tunakunywa dawa.

kwa post yko hapo juu, ni kweli kifo kinaweza kucheleweshwa lakini ipo siku tu mtu lazima afe. Hata hivyo kuna watu wamejitokeza kuwadanganya wengine kuwa wanaweza kuzuia kufa kwa maombi peke yake. Kweli wapo wanamaombi wenye uwezo huo lakini wengi ni waongo. wanafanya kila wanalofanya kwa malengo yao binafsi na si kwa ajili ya utukufu wa Mungu.Kila jambo linalofanywa kwa maslai binafsi na si kwa ajili ya utukufu wa Mungu ni sawa na ushetani.

Mungu analengo kwa kila jambo, tuwe tayari kukabiliana na malengo ya Mungu ambayo hayatupendezi katika nafsi zetu ikiwemo kifo.
 
Wanaojenga hosp ni wakristo wa kweli kama vile katoliki. anglikana. lutheran .au SDA. walokole ni watu wa shetani na hawajengi hospitali na kila kanisa la walokole ni la mtu na huyo ndio anakula sadaka utakuta msaidizi au namba two ni mke wake. wanasiri gani ? wanajipa uaskofu au hata utume. mifano iko mingi Dar na unaijua kama mwenge. ubungo n.k

Mkuu una akili sana kwa kulijua hilo,kanisa si mali ya mtu binafsi kama walokole wafanyavyo.ni utapeli kwa kwenda mbele.
 
Huwa sina kawaida ya kuongea wala kupost ila post yako imenifanya nicomment Ulaaniwe huwezi ita imani za wenzako dini ya mashetani shetani ni wewe hapo mwenyewe naruudia tena Ulaaniwe una mapepo si bure

Huyu kama si Lusekelo,Rwakatare,gamanywa,gwajima,kakobe au malisa au mchungaji yeyote wa kilokole,naona umeambiwa ukweli umekasirika,ukweli unauma ila HUYO MTU KA POST UKWELI NA YESU KAMWONGOZA HATA UKINUNA HUO NDIO UKWELI.MNAPOTEZA WATU BWANA.KWANINI MNAPOTOSHA BIBLE?
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom