Wachungaji wa Kike na Wahubiri wengine mnasemaje kuhusu kifungu hiki cha Biblia Takatifu?

Hao wanawake wa Kiefeso wametokea wapi..?

Kwanini Paulo akiwa Efeso hakuongelea hilo.??
Kwataarifa yako barua ambazo Paul aliwaandikia watu katika maeneo mbalimbali ni barua walizotumiana kujua habari zao baada ya kuwaacha katikaaeneo yao na kuendelea kuieneza Injili ya Yesu Kristo.

Ni kama Paul awe ameenda kigoma akatoka huko akaenda Mwanza atoke huko aende musoma atoke aende tanga atakapofika Arusha atapokea au kutuma barua kigoma Mwanza na musoma kuwajulia hali ya Injili inaendeleaje baada ya kuwaacha.

Paul alipoenda eneo geni aliihubiri Injili na kutafuta wanafunzi katika eneo hilo na kuanzisha kanisa hapo kisha anawaachia wale wanafunzi wabobevu lile kanisa alafu yeye anaenda mahali pengine tena kuhubiri Injili (kusambaza imani) hivyo hizo nyaraka unazosikia kwa Corinthians kwa Galatians nk ni feedback au maagizo anawapa waangalizi aliowaacha na kuwasalimu wale waumini ambao aliwaanzishia kanisa.
 
imeandikwa, 'kama inenavyo torati'. hii ni kuonesha kuwa biblia haijipingi. swala hapa ni kwamba generally wanawake hawaruhusiwi kuhudumu kanisani, lakini biblia inaonesha manabii na watumishi wanawake, hii ni kusema kuwa kwa wale wanaoweza kufanya kazi ya Mungu wanaruhusiwa ila kwa utaratibu.
 
Ndugu mbona unakuwa na kichwa kigumu kama uliyelogwa...? Kutoa unabii hakuhusiani na kusimama madhabahuni na kuhutubu ....Kusimama madhabahuni na kutoa mahubiri ni kazi impasayo mwanaume pekee.... Mbona unataka kulaziisha mambo..

Ni kweli kabisa. Shida ni pale mtu anapotaka kulazimisha msimamo wake ndio uwe msimamo wa maandiko matakatifu. Busara ingekuwa kuruhusu ufahamu mpya kupata nafasi ndani ya mtu, hapo pangelikuwa na msaada.
 
Bible ipo deep sana......

Yoeli 2:
28 Hata itakuwa, baada ya hayo, ya kwamba nitamimina roho yangu juu ya wote wenye mwili; na wana wenu, waume kwa wake, watatabiri, wazee wenu wataota ndoto, na vijana wenu wataona maono;

29 tena juu ya watumishi wenu, wanaume kwa wanawake, katika siku zile, nitamimina roho yangu.

Kumiminiwa Roho mtakatifu sio passport ya kuwa mchungaji. Roho mtakatifu ni ahadi ya Mungu kwa yeyote aaminie. Mume, mke, watoto, vijana. Mungu ni Mungu wa utaratibu. Mwanamke HANA sehemu katika huduma ya Uchungaji. Sii kwamba hawezi kuhubiri, BALI sio sehemu yake katika mpangilio wa kiungu.

IANGALIE TENA 1corinthians 14: 35-38, 1Timoth 3: 1-2, 12.
1.This is a true saying, if a man desire the office of a bishop, he desireth a good work.

2. A bishop then must be blameless, the husband of one wife, vigilant, sober, of good behaviour, given to hospitality, apt to teac
h;

12. Let the deacons be the husbands of one wife, ruling their children and their own houses well.

Sasa watu wkitaka kuwa wajinga na wawe wajinga, ama wakitaka kwenda na wakati na waende na wakati LAKINI wajue kuwa hayo ni ya kwao wenyewe, ni mambo waliyojitungia WALA sio maandiko matakatifu.
 
Kwataarifa yako barua ambazo Paul aliwaandikia watu katika maeneo mbalimbali ni barua walizotumiana kujua habari zao baada ya kuwaacha katikaaeneo yao na kuendelea kuieneza Injili ya Yesu Kristo.

Ni kama Paul awe ameenda kigoma akatoka huko akaenda Mwanza atoke huko aende musoma atoke aende tanga atakapofika Arusha atapokea au kutuma barua kigoma Mwanza na musoma kuwajulia hali ya Injili inaendeleaje baada ya kuwaacha.

Paul alipoenda eneo geni aliihubiri Injili na kutafuta wanafunzi katika eneo hilo na kuanzisha kanisa hapo kisha anawaachia wale wanafunzi wabobevu lile kanisa alafu yeye anaenda mahali pengine tena kuhubiri Injili (kusambaza imani) hivyo hizo nyaraka unazosikia kwa Corinthians kwa Galatians nk ni feedback au maagizo anawapa waangalizi aliowaacha na kuwasalimu wale waumini ambao aliwaanzishia kanisa.
Hili ndo jibu la maswali niliyokuuliza...???

Hakuna kitu unachokijua kwenye historia kaa kimya maana unaleta kichefuchefu...
 
Hapo lazima waingie mitini kwa staili ya kusema roho mtakatifu kawatokea!! Shida ni kuwa tunajuaje kama ni roho takatifu au ni ya shetani iliyowatokea?? Jibu rahisi ni kuwa roho yoyote inenayo kinyume na maandiko ni ya shetani!.
Ukweli ni kwamba mwanamke hata kusimama ktk minmbari haruhusiwi, lkn cha ajabu makanisanj watu wanacheza kabisa kwa kunengua nyimbo za injiri juu ya jukwaa. Ni haraam! Tena ni haraam!. Kila nikitafakari siku ile, nahuzunika sana maana itakuwa ni siku ngumu sana! Itakuwa ngumu mno! Hii ni siku ya kiama, watu wengi hawaamini lkn kiyama ni kweli kipo.

nenda zab.150
 
Biblia hua haiendagi hivi kabisa hapo haupaswi kuchukua hivyo vifungu viwili vya mamneno mambo ya namna hii hua wanafanyaga sana ndugu zetu watoto wa mama mdogo kwa mstari wao pendwa wa enyi wagalatia ni mani aliyewaroga basi mjadala huanzia hapo....
 
Bible ipo deep sana......

Yoeli 2:
28 Hata itakuwa, baada ya hayo, ya kwamba nitamimina roho yangu juu ya wote wenye mwili; na wana wenu, waume kwa wake, watatabiri, wazee wenu wataota ndoto, na vijana wenu wataona maono;

29 tena juu ya watumishi wenu, wanaume kwa wanawake, katika siku zile, nitamimina roho yangu.
Ndg kuwa mtumishi haimaanishi kuhubiri tu...
Halafu pia biblia haiwezi kujipinga, yani huku ikataze then kule ikubali....
 
Nyaraka za Mtume Paulo ziliandikwa kuwalenga watu fulani. Miongoni mwa Wakorintho, mwanamke hana nafasi ya kuzungumza mbele za kadamnasi.

Paulo aliwaambia Wakorintho yanayowahusu Wakorintho, lakini si kwamba aliwakataa wanawake. Soma Matendo 18:24-26
Kama ni hivo basi watanzania hawana waraka wao kutoka kwa Paulo ama nyaraka za Paulo haziwahusu....
Ninachoamini ni kwamba neno la Mungu halijipingi na kama alikataza kwa wakorintho hata sasa inatakiwa iwe hivo hivo
 
Hili ni agano la kale ambalo kwa mujibu wa wakristo limefutwa kwa agano jipya. Usifute kifungu cha agano jipya kwa kutumia agano la kale. Angalia usije kuwa mtu wa motoni.
Kama wewe ni muisilam simama na unachokiamini na epuka kuzungumzia wanachokiamini wengine. Kumbuka siku ya mwisho utakuwa wewe na Mungu wako hata mkeo au mumeo hatakusaidia kwenye hukumu. Hivyo acha kuleta mjadala usio na faida yeyote. Unajifanya unajua sana biblia ukiulizwa msitari unaosema agano jipya limetengua agano la kale katika biblia utakuwa huna. Hide your ignorance!
 
Ni kawaida Yenu mnapoulizwa maswali kuhusu kitabu chenu huwa mnakitupa migongoni mwenu kana kwamba hamkijui kisha mnamsingizia roho mtakatifu. Mimi nimefikisha ni kazi yako kufuata. Mwenyezi MUNGU atahukumu baina yetu kwa yale tuliyohitilafiana.
 
Leo ndo nimegundua kuwa biblia imeandikwa. Na imeandikwa na waandish tofauti.
 
Nyaraka za Mtume Paulo ziliandikwa kuwalenga watu fulani. Miongoni mwa Wakorintho, mwanamke hana nafasi ya kuzungumza mbele za kadamnasi.

Paulo aliwaambia Wakorintho yanayowahusu Wakorintho, lakini si kwamba aliwakataa wanawake. Soma Matendo 18:24-26
Leta hapa hiyo nukuu ya matendo
 
Back
Top Bottom