chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 12,139
- 35,361
Kwataarifa yako barua ambazo Paul aliwaandikia watu katika maeneo mbalimbali ni barua walizotumiana kujua habari zao baada ya kuwaacha katikaaeneo yao na kuendelea kuieneza Injili ya Yesu Kristo.Hao wanawake wa Kiefeso wametokea wapi..?
Kwanini Paulo akiwa Efeso hakuongelea hilo.??
Ni kama Paul awe ameenda kigoma akatoka huko akaenda Mwanza atoke huko aende musoma atoke aende tanga atakapofika Arusha atapokea au kutuma barua kigoma Mwanza na musoma kuwajulia hali ya Injili inaendeleaje baada ya kuwaacha.
Paul alipoenda eneo geni aliihubiri Injili na kutafuta wanafunzi katika eneo hilo na kuanzisha kanisa hapo kisha anawaachia wale wanafunzi wabobevu lile kanisa alafu yeye anaenda mahali pengine tena kuhubiri Injili (kusambaza imani) hivyo hizo nyaraka unazosikia kwa Corinthians kwa Galatians nk ni feedback au maagizo anawapa waangalizi aliowaacha na kuwasalimu wale waumini ambao aliwaanzishia kanisa.