Wachungaji wa Kike na Wahubiri wengine mnasemaje kuhusu kifungu hiki cha Biblia Takatifu?

Kabla ujailewa biblía usihoji vitu unachotakiwa kufanya mtafute Mungu kwa nguvu Zako zote akili zako zote na kwa uwezo wako wote, acha dhambi utamuona Mungu, haijalishi anafundisha mwanamke au mwanaume John jifunze Jinsi ya kuongozwa na Roho mtakatifu hutapata Shida ya kuhoji vitu visivyokua kuwa na msingi
 
Ndugu mbona unakuwa na kichwa kigumu kama uliyelogwa...? Kutoa unabii hakuhusiani na kusimama madhabahuni na kuhutubu ....Kusimama madhabahuni na kutoa mahubiri ni kazi impasayo mwanaume pekee.... Mbona unataka kulaziisha mambo..
Huyu jamaa ni mzito mno kuchanganua mambo aidha kwa makusudi au kwa bahati mbaya. Tukiwa na wachungaji wa aina hii kwenye jamii ni hatari miaka miambili ijayo mistari itakayobaki hai ndani ya biblia ikabaki robo maana mingi itafutwa kwa staili za huyu jamaa. Kwa mtindo huu anamaanisha aya hizo za Paulo zifutwe kwenye biblia!! Hii ni hatari sana kwa kizazi kijacho!
 
Hilo andiko sibishani nalo na ninakubaliana nalo 100% nyie mnatafsiri tofauti na maana halisi na tayari nimeshaweka mistari chungu nzima iliyompa mwanamke mamlaka ya kuhubiri Injili.

Tena saivi utumishi ni tofauti na Jesus time au old testament saivi Yesu aliacha kazi moja tu ulimwenguni nayo ni kuhubiri tu Injili tofauti na zamani kuhani alikua ana kazi nyingi sana.
Leta tafisr yako
 
Maelezo yako yapo wazi kuwa umepingana na andiko mkuu. Kama Yesu angetaka kuruhusu wanawake wahubiri madhabahuni angechukua angalau hata mwanamke mmoja katika wanafunzi wake. Cha ajabu hata mwanamke mmoja hakuwemo katika wanafunzi wake 12!! Hivi ndio tuseme Yesu alikuwa mbaguzi wa wanawake?? Au alikuwa amepitwa na wakati???. Binafsi naamini Mwenyezi MUNGU yupo sahihi sana kuzuia wanawake wasihutubu pale mbele. Siku hizi wanaimba kwaya karibu nusu ya mgongo upo wazi ni aibu sana hii! Wanaimba wamejirembaaa utadhani wanataka kuwavutia wanaume kwenye hiyo kwaya!! Hii ni hatari sana! Kuna watu huwa mawazo yanahama kabisa mle kanisani kwa ajili ya kuangalia wanawake wanaoimba kwa mbwembwe na kurembesha sauti zao kanisani na kazi hiyo ya kupotosha nyoyo za watu huwa ni ya shetani. Je wanawake wamekuwa ajenti wa shetani siku hizi kwa kisingizio cha ibada iende na wakati?? Mwenyezi MUNGU ni yule yule au mna Mungu mwingine??
Kazi iliyoachwa na Yesu ni moja tu.

Matthew 28:
18 Yesu akaja kwao, akasema nao, akawaambia, Nimepewa mamlaka yote mbinguni na duniani.

19 Basi, enendeni, mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi, mkiwabatiza kwa jina la Baba, na Mwana, na Roho Mtakatifu;

20 na kuwafundisha kuyashika yote niliyowaamuru ninyi; na tazama, mimi nipo pamoja nanyi siku zote, hata ukamilifu wa dahari.

Wala hajawabagua wanawake popote.
 
Kabla ujailewa biblía usihoji vitu unachotakiwa kufanya mtafute Mungu kwa nguvu Zako zote akili zako zote na kwa uwezo wako wote, acha dhambi utamuona Mungu, haijalishi anafundisha mwanamke au mwanaume John jifunze Jinsi ya kuongozwa na Roho mtakatifu hutapata Shida ya kuhoji vitu visivyokua kuwa na msingi
Ni hatari sana tutakavoruhusu mashoga kuwa walimu wa neno la MUNGU. Maana tunakoelekea saa ndio huko, kila siku mambo yankuwa simplified kwa vigezo dhaifu kabisa. Kama anayefundisha neno la MUNGU yeye mwenyewe hafuati anayofundisha, itakuaje kwa waumini wa kanisa hilo???
 
Kazi iliyoachwa na Yesu ni moja tu.

Matthew 28:
18 Yesu akaja kwao, akasema nao, akawaambia, Nimepewa mamlaka yote mbinguni na duniani.

19 Basi, enendeni, mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi, mkiwabatiza kwa jina la Baba, na Mwana, na Roho Mtakatifu;

20 na kuwafundisha kuyashika yote niliyowaamuru ninyi; na tazama, mimi nipo pamoja nanyi siku zote, hata ukamilifu wa dahari.

Wala hajawabagua wanawake popote.
Kwahiyo Paulo ni mtu mbaya sana kuwabagua Wanawake...? Anakwenda kinyume na Mafundisho ya Yesu ehhh...

Hivi unajua upuuzi huu ndio ulimfanya Martin Luther Kupunguza vitabu saba vya Agano la Kale na kutaka kufanya attempt ya kupunguza kitabu cha Yakobo, Ufunuo na Waebrania....
 
Kwahiyo Paulo kajitungia mafundisho yake mwenywe tofauti na yale ya Yesu??
1473093240264.png
 
Huyu jamaa ni mzito mno kuchanganua mambo aidha kwa makusudi au kwa bahati mbaya. Tukiwa na wachungaji wa aina hii kwenye jamii ni hatari miaka miambili ijayo mistari itakayobaki hai ndani ya biblia ikabaki robo maana mingi itafutwa kwa staili za huyu jamaa. Kwa mtindo huu anamaanisha aya hizo za Paulo zifutwe kwenye biblia!! Hii ni hatari sana kwa kizazi kijacho!
Mkuu we ndo mm sikuelewi......
1473093387923.png
 
Kwahiyo Paulo ni mtu mbaya sana kuwabagua Wanawake...? Anakwenda kinyume na Mafundisho ya Yesu ehhh...

Hivi unajua upuuzi huu ndio ulimfanya Martin Luther Kupunguza vitabu saba vya Agano la Kale na kutaka kufanya attempt ya kupunguza kitabu cha Yakobo, Ufunuo na Waebrania....
Hizi story za vijiweni sintatoa pesa yangu kuzinunua.
 
Scriptures are a revelation of life style of the middle Eastern societies. They are prophetic works of arts written by the highly wise authors.

Nothing more, just read to get wisdom. Yaani ni maandiko ya wahenga wa jamii hizo. Busara za humo ni sawa-sawia na busara za wahenga kama usiposikia la mkuu vs waheshimu baba yako na mama yako.

Mwenye nguvu mpishe v akupigaye kushoto mgeuzie kulia, jembe halimtupi mtu dhidi ya asiyeganya kazi na asile!
 
Ukisoma hoja ya niliyemjibu kaleta kifungu cha Kitabu cha Yoeli ambacho kipo agano la kale. Je kifungu hiki cha agano la kale kinalifuta agano jipya??? Kama hakifuti basi wanawake wanaohubiri na kusoma neno kwenye mimbari wanatenda dhambi maana hawatii andiko.
Unachambua bible ki usul
 
Una maana hizo aya ndio zimeruhusu mwanamke kuhutubu jukwaani mbele ya wanaume?? Je aya hizo ulizotoa zinafuta aya hizi hapa chini ??View attachment 394240
Hapo Bible inawataka sio wanawake tu bali hata wanaume kutokumkatiza muhutubu anapohutubu hekaluni kwa kumuingilia kati na kutaka ufafanuzi bali kama hajaelewa amfuate pembeni na aombe aeleweshwe.

Kama tunavyosoma kwenye Bible wanawake wakiwapeleka wanaume pembeni na luwaelewesha zaidi kumjua Mungu badala ya kumuingilia mhubiri katikati na kuharibu utaratibu wa mafundisho.

That's all.
 
Hapo sasa ni pagumu kujibu mkuu. Kila mtu atawajibika kwa matendo yake. Biblia ipo wazi kwa ajili ya kila mtu kuisoma, tatizo watu hawasomi maandiko. Sisi waislamu tunapotii maandiko yetu wanasema tunawatesa wanawake. Wenzetu wakristo hawatii maandiko yao, ukiwahoji wanamsingizia roho mtakatifu kwa vile hawezi kujitokeza ili tumuulize.
Democracy ime overcome bible, ndo maana utakuta bible inakataza kuzin lakin watu wanazini kwakisingizio cha kutaka kuoana.
 
Hapo Bible inawataka sio wanawake tu bali hata wanaume kutokumkatiza muhutubu anapohutubu hekaluni kwa kumuingilia kati na kutaka ufafanuzi bali kama hajaelewa amfuate pembeni na aombe aeleweshwe.

Kama tunavyosoma kwenye Bible wanawake wakiwapeleka wanaume pembeni na luwaelewesha zaidi kumjua Mungu badala ya kumuingilia mhubiri katikati na kuharibu utaratibu wa mafundisho.

That's all.
Umetunga tafsiri yako mkuu. Maandiko yapo wazi sana tena sana. Haya tuishia hapa maana shida yako wewe upo ndani ya box huwezi kutoka. Ukishatoka ndani ya boksi tutajadiliana zaidi.
 
Back
Top Bottom