wachungaji makanisani wanavisa sana

wachungaji makanisani wanavisa sana

ngome

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2014
Posts
235
Reaction score
98
Wachungaji 3 walikutana waelezane matatizo yao
ili waweze kuombeana: wakwanza, jamani mm
tatizo langu wizi yaani kila nikimaliza ibada lazim
a
niibe hela za sadaka.
Wapili, jamani mm tatizo langu napenda wanawake
yaani nimeshatembea na wanakwaya wote.
Watatu, badala ya kuongea akaanza kulia wenzie
wakamuliza unalia nini, akajibu ... Jama mimi
tatizo langu umbea yaani haya yote tulioongea
lazima nikaseme.
 
Haahaaaa! Haya bana..
 
wataaacha kuombea mengine yote wahakikishe huyo pepo wa wa3 wanamuondoa kwanza kwa aina zote za maombi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom