Wachungaji bado waendeleza kula kondoo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wachungaji bado waendeleza kula kondoo

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kanyafu Nkanwa, Aug 23, 2010.

 1. K

  Kanyafu Nkanwa JF-Expert Member

  #1
  Aug 23, 2010
  Joined: Jul 8, 2010
  Messages: 812
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Hii ndiyo maana ya mwisho wa Dunia? Maana wachungaji wamekaza sana kula Kondoo!

  Priest charged with swindling woman 10.8m/- (Daily News | Priest charged with swindling woman 10.8m/-)

  A PENTECOASTAL Church Pastor in Tarime, Francis Chacha appeared before the District Magistrate Court on Monday, charged with obtaining 10.8m/- by false pretences.

  Before Magistrate Yusto Ruborogo, it was alleged that the cleric obtained the cash from a businesswoman, Ms Rusia Mkohi. The prosecutor Twaha Mtagabwa alleged in court that the accused committed the crime on August 20 at around 2pm at the church premises.

  The prosecutor charged that the accused received the cash on an agreement that he would supply the businesswoman with timber. He further said that the accused did not fulfil the promise and later disappeared until last week when he was arrested.

  The accused was remanded after failing to meet bail conditions which included securing two sureties with fixed assets. The case was adjourned to September 6 for another mention.
   
 2. r

  rachel kusia Member

  #2
  Aug 24, 2010
  Joined: Mar 7, 2008
  Messages: 28
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Inashangaza kuona mchungaji anajihusisha na biashara isiyo rasmi au isiyokuwa ya njia yake. Upako wake uko katka kuhubiri habari njema, na nilazima afanye mambo yanayoenda kwa haki na siyo kujaribu biashara zisizo rasmi. Kama anahitaji kufanya biashara nyingine bora aandikishe kampuni yake hiyo na iendeshwe na kusimamiwa na watu wengine wa familia yake ina ijulikane kuwa ni kampuni halali. Kama Mchungaji hanyimwi kufanya biashara ilimradi isiwe haramu.
   
 3. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #3
  Aug 24, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Enyi waumini wake, toeni mafungu ya 10 na sadaka za kutosha, ona sasa mchungaji wenu anaingia majaribuni!...mtawajibika na hilo mbele za haki!...huh!
   
 4. D

  Dick JF-Expert Member

  #4
  Aug 24, 2010
  Joined: Feb 10, 2010
  Messages: 477
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hao si wachungaji tena, bali ni mbwamwitu!
   
Loading...