Mkulungwa01
JF-Expert Member
- Jul 14, 2021
- 3,977
- 5,351
Yaani umekwenda kusali, ila wanang'ang'ania uwe mshirika wa kudumu, sio kama RC ambao unasali kanisa lolote na unakuwa huru, hakuna wa kukuuliza.
Ila kwa makanisa haya mengi ya pentecoste hii ni changamoto, mbaya zaidi ukienda kusali na kujulikana ni mgeni utaulizwa kama umeokoka au la! Kama bado wengi huwa wanakulazimisha uokoke.
Yaani hawaelewi ukiwaambia mimi bado bado, wanakera mno! Watu wengine hawajazoea kusali kanisa moja, sasa mnawakatisha tamaa watu wa aina hii, mnakuwa ga na vimaswali vya kipuuzi mno sometimes.

ili akukamue vizuri. Kuna mwanamama pia aliachwa sababu ni hio hio