TUKIO la kusikitisha limetokea hivi karibuni katika Kijiji cha Wenda, Kitongoji cha Lupeta, mkoani Iringa kwani umekutwa mwili wa mwanakijiji aliyetambulika kwa jina la Leonard Kutika (49) ukiwa umechunwa ngozi, hivyo kuvuta hisia kuwa wachuna ngozi wameibuka
hivi kumbe mambo yetu yale bado yapo?? kuna kipindi mbeya ilitikisa sana hii kitu. sasa naona imehamia mkoa wa jirani. umasikini wa akili ni mbaya sana
tukio la kusikitisha limetokea hivi karibuni katika kijiji cha wenda, kitongoji cha lupeta, mkoani iringa kwani umekutwa mwili wa mwanakijiji aliyetambulika kwa jina la leonard kutika (49) ukiwa umechunwa ngozi, hivyo kuvuta hisia kuwa wachuna ngozi wameibuka…