Ndugu Wanahistoria,
Salaam! Ningependa kujua historia na mchango ya hawa wachumi ambao hawatajwi sana siku hizi.
1. Jumanne Wagao
2. Salvatore Rugumisa
3. Ngila Mwase
4. Kighoma Malima
5. Mboya Bagachwa
6. Fidelis Mtatifikolo
7. Lucian Msambichaka
Shukrani,
Companero