Wachumi naomba mbinu!

Nataka kuthubutu kwa kuanza na biashara ndogo kwanza though sijajua ni biashara gani
Kama hujajua ni biashara gani.. basi bado hujawa tayari kufanya biashara. Honestly! Husifanye kwa kuwa unamuona flani anafanya na anapata pesa ukatamani fanya kwa kuwa unamapenzi na hicho ukifanyacho! Fanya kitu ambacho utakuwa tayari kufanya hata kama ukiamshwa usiku wa manane ukifanye. Kitu ambacho kila asubuhi utaamka ukitabasamu kwenda kukifanya! Kinacho kupa furaha kukifanya.
 
Back
Top Bottom