real G
JF-Expert Member
- Feb 7, 2013
- 5,227
- 5,292
Kenya wamezindua reli ya Kisasa ambayo itarahisiha usafiri kati ya mji wa Mombasa na Nairobi,
Reli hiyo itakuwa inabeba mizigo na abiria na raia atakayelipa kiasi cha chini kabisa itakuwa ni shilingi 700
Manufaa ya kiuchumi ya reli hii itakuwa ni kushaushagharama za usafiri na uharibifu wa barabara utapungua
Ila wachumi deni la dola bilioni 3.5 iliyokopa kutoka uchina haiteza kulipwa na mradi huo kwa kuwa bado Kenya ni nchi masikini, Pia Benki ya Dunia iliishauri Kenya kukarabati reli yake ya zamani badala ya kujenga mpya na fedha hizo za kujengea reli zingetumika kufadhili miradi mingine kama kilimo lakini wakaamua kwenda na mkopo wa China
Pia kuna wasiwasi reli hiyo haitadumu kwa kuwa vitu vingi vya kichina havidumu na akatolea mfano wa malori ya jeshi yaliyonunuliwa Uchina hayajadumu
China imekuwa ikitoa mikopo kwa nchi masikini duniani na mikopo hiyo kujengea miradi mikubwa, China ilitoa mkopo wa dola bilioni 1 kwa nchi ya Sirlanka lakini bandari hiyo imekosa kazi kwa kuwa hakuna meli na imebidi bandari hiyo itolewe kwa kampuni ya kichina ili kulipa deni hilo jambo ambalo limepingwa na wananchi wa nchi hiyo wakidai kuwa nchi yao imeuzwa kwa China
Chanzo: BBC
cc Retired