Mtandaoni,mtaani au popote pale mtakapokutania sio kigezo cha kuona huyu yupo commited na huyu sio. Kilicho muhimu je hao wawili wana nia zilizosawa ktk kuanzisha safar yao ya mahusiano. Na hivi mioyo yetu sio kioo kusema utaona nia ya mtu hapo ndo tabu. Kikubwa ni kuomba Mungu atupe macho ya rohoni