Muke Ya Muzungu
JF-Expert Member
- Jun 17, 2009
- 3,444
- 265
Kuna habari za uhakika kwamba, kuna kundi la wachina ipatayo 8 ndani ya Serengeti wanaosaidiana na watanzania kadhaa kuwinda Faru na tembo. Majangili hao wana gari aina landrover yneye rangi ya kijani, inayofanana na ya TANAPA. Ikiwa ndani ya hifadhi, gari hilo ufunikwa na kitu ambacho kinafanana na neti, ambayo uifanya gari kuonekana kama kichaka. Wadau wanatafuta picha...tutawajuza zaidi