Wachina wana project inayoitwa Free zone someni hapa

Wachina wana project inayoitwa Free zone someni hapa

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
14,136
Reaction score
33,537
Free zone ni project ambayo kwa wale wanaopenda pesa madaraka wanakurupuka ndio haya tumeona ngorongoro kwa waarabu.

Free zone nahisi na bagamoyo imeshaanza.

Kinacho fanywa kwenye project hizi wanakuwa na bandari yao au maeneo ambayo yana viwanda wavyo ndani ya eneo na hakuna wa kuwagusa kuhusu import au export.

Mfumo huu ni kama wana nchi yao ndani ya nchi ya wengine kiufupi ni base ya mambo yao.

Nijeria teyari kama mnataka habari kamili fatilia makala youtube.
IMG_1327.jpeg
IMG_1328.jpeg
 
Back
Top Bottom