Wachina wajenga jengo lenye ghorofa 57 ndani ya siku 19

Ifike oktoba tutajuwa kuna udini au hakuna...kuna ukabila au hakuna.....kuna uvyama au hakuna.....kuna utajiri au hakuna.....kuna vurugu au hakuna....atashinda nani atashindwa nani.
 
Mh! Ni balaa!! Mi wachina nasubiri wwtuletee vidonge vya kuongeza hamu ya kusoma tu!!
 
Wawe wanatumia hela na akili pia sio kuvaa manguo za kiajabu ajabu. Wachina wana hela na pia wanatumia akili, hutowakuta wakifanya mambo ya kijinga kuzingua ulimwengu na itikadi zao.

Papa anavaa nini ile?
 
Back
Top Bottom