Hii ndio faida ya vya kupewa bila kuuliza ni vya kazi gani. Hivi, huyu jamaa hajasoma hata kakozi ka uchumi kwenye digrii yake?. Kuruhusu wageni kuja ovyoovyo bila kuwa na utaalam tuliopungukiwa nao ni kutokuwatendea haki waliokuweka hapo. Na watu hawa wa kichina wanafaidi kodi na raslimali zetu bila kuchangia lolote. Hebu mkulu tafakari tena juu ya huu ukarimu wako wa kuwaruhusu hawa wauaji wa tembo wetu kujificha kwenye kapu la karanga na sigara.
Najua china umeitembelea mara nyingi sana na huenda una idadi ya wabongo walioko huko. Je, ni wangapi wanauza karanga na sigara za rejareja kule?. Hujafikiri vizuri kwa hili.